Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,954
- 134,035
- Thread starter
- #281
ni hatari mkuu,ukoo wa kambale kila mtu ana ndevu hakuna wa kumkemea mwenzieUkifika sehemu chama kinaruhusu wezi kujitangaza kugombea urais ujue, kimekwisha!
ni hatari mkuu,ukoo wa kambale kila mtu ana ndevu hakuna wa kumkemea mwenzieUkifika sehemu chama kinaruhusu wezi kujitangaza kugombea urais ujue, kimekwisha!
Mambo yameiva,
siyo membe tu , hata ukiwachukua wagombea wote wa top 5 dhidi ya Dr Slaa peke yake hawataweza .Eti Dr.Slaa apambane na Membe,haah haah Membe mweupe sana,tena kwenye CCM iliyovunjika
Mambo gani yameiva mkuu; fafanua.
Mambo 9 Kuhusu Dr.Wilbroad Slaa
1. Anachokisimamia
Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, umakini na uwajibikaji katika uongozi wa nchi na utendaji serikalini.
Dk. Slaa anaamini kuwa Watanzania wanaweza kuleta mabadiliko wanayoyataka wakipata uongozi bora na thabiti..
...Kwa mtizamo wangu dr.slaa hana maadili na sio muadilifu na haaminiki..angekuwa muadilifu na mwaminifu asingelisaliti kanisa katoliki.
kila nikiona chochote kumuhusu rais wangu slaa napata faraja..
Vipofu mmekutana slaa apewe nchi imekua kanisa hii.........
Vipofu mmekutana slaa apewe nchi imekua kanisa hii.........
kila nikiona chochote kumuhusu rais wangu slaa napata faraja..