Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

Dr. Wilibrod P. Slaa: Special Thread

October tunamkabidhi nchi Dr.Slaa.CCM hakuna walichofanya zaidi ya kuleta uhuru
 
CV ya DR Slaa ni zaidi ya makabrasha imepatikana pia kupitia malezi ya kanisa.
ILA JUU YA YOTE.....Yeye na viongozi wengine wameonyesha utayari wa kujitoa mhanga kuwasema mafisadi na wahujumu wa taifa hili.
Pia wamesimama kuonyesha mbadala wa utwala bora kwa kuona mahitaji ya katiba shirikishi ,elimu bure nk.
Wameweza kwa utashi kushinikiza kwa hoja na ushahidi mabadiliko ya serikali,sheria na sera mf mikataba mibovu ktk miaka 15 iliyopita.

Tukubali au tutofautiane Slaa ni kiongozi ka kuwa na maono na kuthubutu.
 
Usijibu tu mradi ubishe..shida Sio kutunza muulize Ana mke?? I mean mke wa maana meen umenpata??
hoja dhaifu,wewe kalia kufatilia mambo ya vitandani mwa watu?unataka tuseme kuhusu watoto 30+ wa JK.Unataka tuseme magomvi ya Mkapa na Mama Anna mpaka Mkapa akavunjwa mguu.zungumzia uwezo wa mtu sio mambo ya kitandani.Kama unaumia sana kashee na Josephine
 
Oya kura ni yako mawazo ni yangu..ww kinakuuma nn km wewe unampenda mpende..usifosi kila Mtu ampende kila Mtu na mawazo yake Ila tu nkukumbushe hulipwi na utazidi kuwa maskini!! Usiku mwema ee
 
October slaa ajiandae kurudi kijijini ni wazi kwamba itkuwa niaibu kuongozwa na ukawa tz
 
Oya kura ni yako mawazo ni yangu..ww kinakuuma nn km wewe unampenda mpende..usifosi kila Mtu ampende kila Mtu na mawazo yake Ila tu nkukumbushe hulipwi na utazidi kuwa maskini!! Usiku mwema ee
akili ndogo,hapa hatuongelei mapenzi tunatathmini kiongozi mkuu wa nchi mwenye sifa na uzalendo
 
A very CV kwa kweli . Ongezea anajua maisha ya watanzania wa kawaida na mateso yao ya kila siku bro . Slaa is the man .
Lunyungu hiki ulichokitaja ndio cha muhimu kabisa kwa kiongozi tunayemtaka. Halafu kiongozi ni yule ambaye wananchi ndio wanamshawishi awaongoze sio yeye awamwagie pesa na kusema mimi ninawafaa! Ona Slaa hana hata munkari wa huo Urais bali sisi ndio tunasema unafaa wewe Slaa.
Eti kuna watu wametenga Bilioni 10 za kutafuta Urais, ili iweje?
 
Last edited by a moderator:
Prof.Lipumba ametoa changamoto,well and good!!!Tunasihi kwa upande wetu Chadema,maombi ya kumsimamisha Dr.Slaa yafikiriwe
 
Swala la kuwa na mke ni fikra duni.vipi waloleta umaskini tz hawana wake?. Mbona mapadri wakatoli wamefanya mengi kijami
 
Swala la kuwa na mke ni fikra duni.vipi waloleta umaskini tz hawana wake?. Mbona mapadri wakatoli wamefanya mengi kijami

Wanaojadili mke ni kufilisika kisiasa,tunao viongozi kwenye halmashauri zetu,lakini ndio wanaongoza kufilisi miradi ya nchi tumepata nini na wake zao?
 
Ohoooo ushaharibu kumbe EL alitajwa kwenye list of shem mwembe yanga.... TeamLowassa njoo ujibu tuhuma
 
Last edited by a moderator:
Ukifika sehemu chama kinaruhusu wezi kujitangaza kugombea urais ujue, kimekwisha!
 
Back
Top Bottom