Kiukwel ukawa kati ya mistake kubwa mliyoifany ni maamuz ya leo kutangaza sambamba mgombea Kwa ticket ya ukawa kwa maoni yang ilkuwa ni mapema San ikizngatia ccm bado wapo kweny mchakato wa kupata kiongoz wao hakukuwa na haraka zaid ungekuw ni mda mwafaka wa kujipanga na kuruhusu air time kwao nahatimae wangetagaza wa kwao but kwa waliofany now nadhan air time ni ndogo kuanzia vyombo vya habar na hata kwa wananchi wenyewe kwa sabab macho na maskio ya watanzania weng yapo dodoma na hivyo imewasaidia ccm kujipanga zaid nahatimae magufuli wamehis anaweza kuwa mwarobaini wa kuwavusha jipangen ukawa...........,,,,,,,,,.... Kaz bado inaendlea