Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,956
- 134,035
- Thread starter
- #221
pamoja na kuonyesha wazi kuwa unaleta ubishi,nitakujibu!!List of Shame ni moja kati ya mambo ya kijasiri aliyowahi kuyafanya Dr.Slaa.Ujasiri kumzidi amiri jeshi mkuu.Yeye na Chadema waliwaweka wazi majina ya mafisadi.Hoja ya ufisadi na uadilifu ni hoja ambayo Dr.Slaa amekuwa akiisimamia.Nimeweka hili hapa kama ushahidi wa hoja na mambo makubwa ambayo Dr.Slaa amekuwa akisimamia.Huwezi kutenganisha List of Shame na Dr.SlaaWe ndo mwenye majibu mi nimeshauliza swali.
Leta maelezo kama unayo au kama na we una maswali basi weka wazi wenye majibu wayalete.