Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

Hizi siasa za kuzungusha mikono badala ya sera zimewaharibu watu, hivi kutokubalina Na Lowassa ni Ulimbukeni?

nani amekudanganya slaa hakubaliani na Lowasa? pesa alizohongwa na ccm ndio zilimbadilisha akili,,,
 
Hatatokea kama Dr Slaa tena Chadema. Amejenga chama kutoka chama cha familia akajitahidi kukipush kwa wananchi na kukipa muonekano wa kitaifa. Japo lilikuwa gumu kueleweka na wenye chama ila alijitahidi sana.

Dr Slaa alijitahidi kuibadilisha chadema kuwa na ajenda inayoeleweka na wananchi ya ufisadi na akafanikiwa kubadili mindset za watu kuhusu nchi yao wakajitambua.

Dr Slaa ndio shujaa pekee ndani ya Chadema aliyepishana na pesa za mafisadi, yeye alisema kama mnaona pesa ndio za maana yeye anajiweka pembeni, hakukubali kukaa meza moja na wezi ili kuwatapeli wananchi.

Dr Slaa dunia itamkumbuka kwa kusimamia ukweli ata kama amesimama peke yake.

Mungu ambaliki sana Dr Slaa amalize masomo yake vyema aje atusaidie kwenye mabadiliko ya kweli sio ya kuzungusha mikono.
 

Tupo pamoja Dr. Waliokuzunguka kisha wakakusaliti malipo yao hayapo mbali Mungu atawaumbua.

Mbowe kauza chama kwa mafisadi.
 
yaani kati ya watu ambao sitaki kuwasikia masikioni mwangu ni wewe mzee na lipumba. mmeonyesha mfano mzuri sana wa neno "usaliti" na vizazi vyote mbeleni vitawakumbuka.
 

kwani na wewe bado ni kamanda?

na vipi uamuzi wa kufungua hospital au shule umefikia wapi kwa zile pesa ulizopewa na marafiki zako?
 
Ni siku nyingi zimepita tangu hekaheka za uchaguzi mkuu 2015 sijamsikia kabisa aliekua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010 Dr. Wilbrod Slaa.

Kwa mnaofahamu tujuzeni yupo wapi? Je kujitoa kwake CHADEMA ndio kumempoteza? Je kuna chombo chochote cha habar kimewahi kumtafuta na kumuuliza maoni yake juu ya utendaji wa serikali ya awamu ya tano? Kama ndio maoni yake nia yapi?.
 
Dr Slaa alikuwa ni the most genuine patriotic politician kwa kipindi cha miaka ya 2000-2015, huyu jamaa ni moja kati ya wanasiasa ambao mchezo wa siasa wali uelewa na waliuweza. Na aliheshimika na kila mtu.

Of coz kuhusu sasa sidhani kama atakuwa ana furahia yanayo endela nchini, lakini pia kama angekuwepo Wapinzani wasinge kuwa kama walivo sasa kipindi hiki cha crisis. Toka aondoke hakuna aliye wezanl kuvaa buti yake.
 
Aliacha kaelezea "asset and liability" akaenda zake kula mihogo ya majuu akiwa na my first lady wake. Kwa hiyo ndo hivyo na vitu kama shuntama na kula bataz. You know
 
Inasemekana yupo Canada kwa Masomo.Rafiki zake wameamua kumfadhili ili apumzishe ubongo baada ya Chama chake kutokumpendekeza kugombea Urais.
 

Ngoja ziishe utamsikia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…