Elections 2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

UJUACHO KITONE, USOJUA BAHARI - MTU KITU, ASO KITU KINYAMA CHA MWITU...majibu yako yapo katika maneno yako mwenyewe..Mzee ruyksa anajua fika kwamba Lowassa kenda kuhodhi chama na mwanafunzi tu kwao katika siasa! wamemlea wenyewe!

Umejibu vyema kabisa. Kama ni hivyo kuwa UKAWA ni mwanafunzi na haiyamkiniki mwanafunzi kumshinda mwalimu wake, ukweli huo pia una maana kwa wizi, ufisadi, na uovu wowote alionao mwanafunzi, kwani kamwe hawezi kumshinda mwalimu CCM.

Ndio maana nilikuambia usihangaike na UKAWA kuhusu maovu maana huyu ni mwanafunzi tu na mwalimu wake aliyebobea katika maovu ni CCM. Hiyo ndiyo maana ya kauli ya gwiji wa Kiswahili, Mzee Ruksa.
 
UJUACHO KITONE, USOJUA BAHARI - MTU KITU, ASO KITU KINYAMA CHA MWITU...majibu yako yapo katika maneno yako mwenyewe..Mzee ruyksa anajua fika kwamba Lowassa kenda kuhodhi chama na mwanafunzi tu kwao katika siasa! wamemlea wenyewe!

Umejibu vizuri kabisa Mwanabodi.

Tujikumbushe tu maudhui ya kauli ya Mzee Ruksa siku ya ufunguzi. Yeye aliweka vizuri kuilinganisha UKAWA na CCM B. Akaongeza kuwa mwanafunzi hawezi kumshinda mwalimu na kuwa UKAWA wanaigiza tu kutoka CCM.

Tukizingatia kuwa huyu ni mzee mwenye hekima kubwa na aliyebobea kwa kuijua lugha hii ya Kiswahili kwa ufasaha ambapo ngano, methali, nahau na misemo kwake imejaa, usemi wa huyu Mzee usichukuliwe kijuujuu tu.

Tuchukulie maneno aliyoyasema Mkapa na Makongoro Nyerere. Kwa tafsiri ya Mzee Ruksa ni kwamba kama UKAWA ni malofa hawawezi kuipita CCM kwa ulofa. Vilevile kama kuna wezi na mafisadi UKAWA basi mwalimu wao ni CCM na hakika kwa kauli ya Ruksa UKAWA hawawezi kuipita CCM kwa wizi na ufisadi. Halikadhalika, kama UKAWA ina wagombea wagonjwa, CCM wagombea wao ni mahtuti (rejea mada aliyoanzisha Yericko Nyerere juu ya afya ya Makomeo).

Hivyo hakuna haja ya kutilia maanani vijineno vya FISI WENU kwani kila ubaya watakaousema juu ya UKAWA wao ndio walimu na kwa kadri ya kauli mujarabu ya Mzee Ruksa, mwanafunzi SI ruksa kumpita mwalimu wake.
 
Hahahaha✌✌✌✌✌✌✌👉👉👉👉👉👉👉👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🐃🐗🐗🐗🐗🐗🐗🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌
 
NIMEOTA..
katika pori la MAJINAMIZI,nyani wameanza kuandaa kadi za mialiko kwa masokwe katika himaya za misitu ya mbali,kuwakaribisha katika sherehe ya kumsimika Sokwe mkuu,huku juhudi za kima za kutwaa himaya hiyo kuhofiwa kuishia mikononi mwa simba na chui wanaojifua vikali katika pori hilo kwa shauku na mbwembwe na matumaini ya kupandishwa vyeo baada ya mauwaji ya kima.
masikini kima mnanikumbusha miaka 14 iliyopita ambapo nyani hao wenye njaa kali waliwapeleka likizo kuzimu, kima waliojaribu kuchapia miti myeusi katika kisiwa cha majimaji kwa lengo la kudai haki wakidhani wanadai haki hiyo kwa kima wenzao kumbe hawakua kima wenzao bali nyani.
im sorry kima.
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

Kuna wafia chama wengi wa CCM kama huyu mwanamke ambao wanaona impact ya alichokisema Dr slaa kwa wananchi haijawa kubwa,imekuwa kama pakiti moja ya chumvi kwenye bahari!Wamepagawa sasa they are trying every angle kuwachanganya wapenda mabadiliko!
Miaka yote huyu bibi amekuwa anamtukana Dr slaa kuwa ni Padre na Malaya,kuwa ameiba mwanamke wa watu!Yote hii ni kutokana na chuki za imani yake kwa Dr!Mara zote wanaCDM wamekuwa wakimtetea Dr kwa maamuzi yake ya maisha binafsi dhidi ya chuki za mleta mada!
Ili kufurahisha nafsi yake sasa anajifanya mwana CDM na ili kuwafanya wale waliomtetea slaa wamtukane ndio nafsi yake iridhike!Kinachomuuma zaidi ni slaa kumtaja JK(muislam) mwenzake kwenye list of shame,hilo linamuuma mpaka leo!
Dr Slaa ni kweli ametuvunja moyo wanaCDM hasa aliotukuta tukiwa wafuasi na tukampokea na akapata fursa ya kugombea ubunge na baadaye urais!Hatukumbagua kwakuwa alikatwa Ccm lakini tuliamini atasaidia kukijenga chama na kuleta ukombozi,kama ambavyo tunaamini lowassa anaweza leta ukombozi kwa kuliondoa kubwa la maadui,joka,shetani na kikwazo cha maendeleo "ccm"!Dr aliongea kwa namna ya kuwataka watz wasusie mabadikiko na wajitenge na ukawa!Suala moja ambalo mimi ni shahidi ni kuwa sikweli limenifanya nione dhamira yake si nzuri bali uchu wa madaraka!Ni pale aliposema cdm kimebeba watu na malori jangwani,hili limenifanya nione yote aliyosema ni uongo na ni kwa lengo alilokusudia!Kama alipewa chochote hilo sijui lakini siku ccm ikiondoshwa madarakani hatakumbukwa kama mtu aliyetoa mchango wa mabadiliko bali mtu aliyeasi mabadiliko ambayo tuliyapigania kwa kipindi kirefu bila mafanikio!
Siwezi kumtukana dr na kumuita hayo majina anayosema mleta mada kumfurahisha yeye,na wengi msiingie kwenye mtego huu!Huyu mwanamke ni mfia chama wa ccm na amekuwa akiendesha siasa humu jamvini za kibaguzi kidini,kikabila na kikanda!Watu kama hawa ni wajinga na wapumbav wasiojua thamani ya nchi yao na taifa linalwenda wapi,wanachojua wao ni kupika majungu,kunya na kulala!Wanajali maisha yao tu na si kizazi kijacho,kwa mwendo huu wajukuu na vitukuu miaka 50 ijayo watatuona malofa na wajinga!Nchi haina dira watu wamekalia ushabiki na maneno ya kanga!Watu wanaoliibia taifa ndio wanaolindwa na serikali!

Change will never come if we wait for someone or some other time,we are the ones we have been waiting for,we are the change we seek!

Tusikubali kuvurugwa katika kipindi hiki,ndivyo walivyozoea!Wameshindwa kumfanya mtanzania awapende kwa kumletea maendeleo sasa wanachofanya wanalazimisha kushika dola kwa kuzima harakati za upinzani kwa hila!Rejea vyama mbali mbali miaka ya nyuma vilivyowahi kushika kasi na kutishia uhai wa ccm!Vilihujumiwa na kuzushiwa mambo ambayo watanzania waliamini,this time tusikubali propaganda mfilisi za aina yoyote toka ccm!
The time is now,tukutane Oct 25!
 
Kumbuka kuwa huu uzi uliandikwa kabla Slaa hajasema lolote wala hajatangaza kuwa ataongea.

Tazama tarehe uliyowekwa hapa.
 
Jamani lazima tujue elimu za nyakati! Jesus aliisha tabiri nyakati hizi watatokea manabii wa uongo .Aliposimama tu mzee wa miaka 62 mbele ya vipaza sauti , kibao, nilijua maandiko yametimia .
 
Kiongozi dada Faiza ww ni visionary sanaa
Sasa nimekuamini nasito kupinga tena lakin kura yangu atapata E.N.Lowassa
 
Slaa ni moja ya watu wakao sababisha kuvunjika kwa aman nchni tz. Hivyo bas mm nashauri wote wanaotaka kuwaaga watanzania waache kipind hk kpte kwanza wao wafanye hayo hapo baada ya uchaguz. Naiomba tume ya uchaguz itoe tamko kuhusu hli
 
Kumbuka watanzania wengi ni maskin wakutupwa sasa ya nn mtu mmoja aanze kusababisha hayo yatokee?
 
Watanzania umasikini upo vichwani.

Chama kina piga kelele miaka yote, fulani fisadi fulani fisadi, leo kakaribishwa na kupewa nafasi kugombea Urais na hao hao waliokuwa wanawaaminisha Watanzania kuwa huyo ni fisadi, sasa wamebadili nyimbo na si fisadi tena. Wanasema mfumo ndio "fisadi".

Na Watanzania wanakubali tu, sasa hapo kama si umasikini wa akili ni nini? Mkapa alilifanunuwa hilo kwa maneno mawili tu "wapumbavu, malofa". Nnakubaliana nae 100%.
 
Umeongea point dada Faiza.
 
Wadigo tunasema usinene ukamala wewe emelifanya hilo ona leo unapwata pwata maneno mkanganyo. Lowasa ni fisadi sawa tunamchagua huyu huyu kuliko hao mamia waliopo huko haturudi misri.
 
Back
Top Bottom