Elections 2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

mbowe kaingia chadema na kupewa ugombea siku hiyohiyo nadhani huyu anaongelea bafuni atakua amefanya yale ya nape sasa akili haijamkaa sawa
 
Bibie FaizaFoxy, ukiwa unatunga uongo wako ujue siku zote mwisho wa siku utaumbuka tu! Haya huyo Mbowe unayesema siku aliyojiunga Chadema ndio siku aliyopewa nafasi ya kugombea urais ni Mbowe yupi? Huyuhuyu Freeman au kuna mwingine?

Kwahiyo authenticity ya habari iko halo tu?? Mbona donati kubwa sana ila waangalia lile shimo pale Kati?
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

Hili pasho kwelikweli, umeigeuza stori kwa staili yake
#tutasikiaMengi
 
Dr Slaa yupo humu ndani... Atakujibu tuu, Hon Dr ni mstaarabu, c mvivu kujibu hoja kw ufasaha zinazomhusu.
Wala usihofu, kutaka ss tujadili.

Nawakilisha...
 
Thubutu. Babu kishatishwa, atajibu yote, la Lowassa hawezi kujibu.

cc Dr.W.Slaa

Bibie... Huyo babu wataka kusema katishiwa Nyau...!!!

Hahahaaa Hata kidogo. Kamanda yule, tena cheo cha General kw makamanda ya M4C CDM.
Utaweza kupumzika but Ukamanda upo palele.

Nukuu ktk Mawio: iliandikwa ya kwamba Dr aligomea KITI, akasifia kheri kuishi kw kula Mihogo kuliko usaliti.
 
Last edited by a moderator:
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na M

wenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

Makubwa na madogo haya! You are inclining towards UKAWA, kisa ur hatred against Dr. Slaa! Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya FaizaFoxy!
 
Last edited by a moderator:
Kweli Kikwete anamuelewa zaidi Lowassa hiyo haina ubishi. Lakini uliielewa kauli ya Mzee Ruksa? Mwanafunzi UKAWA (CCMB) hawezi kumshinda mwalimu (FISI WENU). Vilevile uelewe kuwa anayemjua mchawi basi yeye ni mchawi hodari aliyebobea zaidi ya yule aliyemtambua, kama kauli ya Ruksa ilivyofafanua.

Kwa kadri ya kauli ya Ruksa, mnajisumbua bure kutafuta ufisadi, wizi, upumbavu na ulofa huko UKAWA. Shughuli yenyewe iko kwa mwalimu, FISI WENU!
Mkuu mbona unarukia habari? Lowassa Fisadi basi lazima Dr.Slaa fisadi zaidi yake! hizi habari za wapi? Lowassa kaitwa mchawi na pengine kisha kamatwa na ungo wake akiwa uchi, kama jambazi la Uswazi!.

Na haileti akilini ukisema fulani Fisadi, Mchawi au Jambazi basi lazima wewe pia uwe kubwa lao! basi vyombo vya usalama vya nini na ingekuwa hivyo kila hakimu na mwanasheria angekuwa na sifa (CV) ya Ufisadi, Uchawi au Ujambazi kwanza...Watu mfano wake ndio hupanda mnazi uchi mchana kweupeee! usiwaone kwa nini?
 
Swali linabaki lilelile. Kauli ya Mzee Ruksa umeielewa? Kwa kadri ya Ruksa mwanafunzi (yeye akaita UKAWA kuwa CCMB) hawezi kumshinda mwalimu (FISI WENU). Hayo si maneno yangu. Basi tueleze kwa Ruksa kakosea!
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

Kweli shukrani ya punda ni mateke, kwa hiyo mimi kama.. Katibu Mkuu wa CHADEMA nilikuwa fisadi???
Watanzania mtanikumbuka sana, nahakika ukawa lazima ife, take my words.
Uzinduzi mwema!!
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

Mwogope Mungu dada hata kama unapenda UKAWA ila hapa sikuungi mkono
 
Swali linabaki lilelile. Kauli ya Mzee Ruksa umeielewa? Kwa kadri ya Ruksa mwanafunzi (yeye akaita UKAWA kuwa CCMB) hawezi kumshinda mwalimu (FISI WENU). Hayo si maneno yangu. Basi tueleze kwa Ruksa kakosea!
UJUACHO KITONE, USOJUA BAHARI - MTU KITU, ASO KITU KINYAMA CHA MWITU...majibu yako yapo katika maneno yako mwenyewe..Mzee ruyksa anajua fika kwamba Lowassa kenda kuhodhi chama na mwanafunzi tu kwao katika siasa! wamemlea wenyewe!
 
Kwa kweli chadema wamewaaibisha wapenda mageuzi duniani kote,kwa maamuzi waliyoyafanya.Mzee Mkapa yuko sahihi
 
Back
Top Bottom