Elections 2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

F F huchelewagi kuchomoza kama shetani kwenye chupa ???!. Uzuri umedai unaamini. Kumbe si kweli !!, Unaangaika kutunga stories mama
 
Maadam Kikwete kisha muita Lowassa 'Mchawi" inatosha....huwezi kumjua Lowassa kuliko Kikwete..

Mkuu jahazi lenu la CCM ndio liko taaban, mawimbi kila kona. Ni nguvu ya dola tu itakayoliokoa, hii nakuambia bila kuweka ushabiki. Na je, unafikiria unaweza kumjua Kikwete kuliko Lowassa? Unajua kilichowagombanisha? Unafikiri ni ile issue ya Richmond? (kama wanavyofikiri wengi!) Jibu ni HAPANA.
 
Huyo jamaa ni kiongozi mkubwa sana wa ACT....

Roho inamuuma sana kumkosa Lowassa waliyemmendea usiku na mchana!!!

Jamaa ana wivu kuliko mwanamke aliye kwenye mitala!!!
 
Maskini dada wa watu hili bandiko limeshachelewa kwa sasa hoja ya ufisadi si hoja tena sasa hivi ni maswala ya gongolamboto na tandale! mbona utanyoooka dadek
 
nnaona = ninaona nnauhakika = nina uhakika nnaamini = nina amini harun = haruna kuchukuwa = kuchukua kuwastukia = kuwashtukia
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

Bibie achana na hayo hayana faida! sasa hangaikia kumsafisha nyota mgombea wetu! wee on a lowasa kuingia tu uswazi ule mkutano wa jangwani umesahaulika kama umefanyika long time...
 
Hata mm naamini padri nifisadi laiti angekuwa si fisadi angetueleza kilicho muweka pembeni mwa siasa na chama chake.
Anasita nini kutuambia kutokuwepo kwake ktk siasa ukizingatia huu ndio msimu hasa wa siasa?
Kama sio fisadi anaogopa nini kuweka msimamo wake hadharani( mwanaume hasusi mwanaume anasimamia imani na msimamo wake)
Lipumba mwizie kachota zake kaonyenyesha msimamo wako kajivua uwenyekiti kaondoka.
Duni kachukuwa zake kajiunga na cdm sasa yeye padri anasita nini kutueleza msomamo wake?
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.
Nakala kwa: Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Maadam Kikwete kisha muita Lowassa 'Mchawi" inatosha....huwezi kumjua Lowassa kuliko Kikwete..

Kweli Kikwete anamuelewa zaidi Lowassa hiyo haina ubishi. Lakini uliielewa kauli ya Mzee Ruksa? Mwanafunzi UKAWA (CCMB) hawezi kumshinda mwalimu (FISI WENU). Vilevile uelewe kuwa anayemjua mchawi basi yeye ni mchawi hodari aliyebobea zaidi ya yule aliyemtambua, kama kauli ya Ruksa ilivyofafanua.

Kwa kadri ya kauli ya Ruksa, mnajisumbua bure kutafuta ufisadi, wizi, upumbavu na ulofa huko UKAWA. Shughuli yenyewe iko kwa mwalimu, FISI WENU!
 
Bibie FaizaFoxy, ukiwa unatunga uongo wako ujue siku zote mwisho wa siku utaumbuka tu! Haya huyo Mbowe unayesema siku aliyojiunga Chadema ndio siku aliyopewa nafasi ya kugombea urais ni Mbowe yupi? Huyuhuyu Freeman au kuna mwingine?

Tumemwelewa vizuri sana tu Faiza.
Hiyo ni kama vile Lyatonga akisema "nji hii" tunajua anamaanisha "nchi hii"
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

No option mwaka huu kura yako kwa khafir...wadigo twasema usinene ukamala.ona yanayo kutokea...what you have posted hereabove is just nothing radher than masqueradings..
 
Huyu ni FaizaFoxy original ninae mfahamu au ni fake ID hii....

Kama uikubali ukawa Leo hii itakuwa historia !!

Hahaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Pumbavu, na ndo maana mnaotwa malofa. Slaa ni mtu makini sana ndo maana baada kuona hilo jizi limeenda UKAWA, akaona ni upumbavu kukaa nae jiko moja akasepa zake.
Afu ulivo mpumbavu unaropoka eti lowassa ni mtu safi na sio fisadi, acha ulofa wwe. Au umetumwa?

Ujinga haufutwi kwa kujua kusoma na Kuandika. Umejua kusoma Maandishi sio Maudhui
 
Hilo wala si uongo.

Slaa alikuwa anatuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi.

Lakini leo nnaona Slaa kazimwa na Mwenyekiti Mbowe, hasikiki wala haonekani.

Nnauhakika kazimwa kwa ajili ya ufisadi wake na alikuwa anadanganya kuwahadaa Watanzania kuwa Lowassa ni fisadi.

Mimi nnaamini Lowassa ni mtu safi kabisa, hana ufisadi hata chembe, kama anavyoamini Mbowe na wana UKAWA wote na ndiyo maana leo hii Mbowe alivyoingia tu chadema, siku hiyo hiyo kakaribishwa kwa kupewa kadi ya uanachama na siku hiyo hiyo kapewa nafasi ya kugombania Urais wa Tanzania.

Hakuna sababu nyingine yeyote zaidi ya kuwa Lowassa ni msafi, na ana uwezo kuliko mwana chadema yoyote katika uongozi ndiyo maana akapishwa haraka haraka kuchukuwa nafasi ya kugombea urais Tanzania.

Kwa upande mwingine, nnaamini kabisa kabisa kuwa Daktari wa Kanoni Slaa siyo mwadilifu na ni zaidi ya fisadi na ndiyo maana kapigwa chini na chadema na UKAWA kwa ufisdi wake hafai kugombea urais wala hafai kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Hali kadhalika kwa muasisi na aliyetowa wazo la UKAWA na aliyeongoza watu kutoka BMK, Professor Harun Lipumba. na yeye ni fisadi na kahongwa ndiyo maana kaachia Uenyekiti wa CUF.

Kumbe mafisadi tulikuwa nao tena mmoja ni Katibu Mkuu na mmoja ni Mwenyekiti wa vyama vyetu mahiri vya upinzani CUF na CHADEMA, hatukuwastukia mpaka hizi dakika za mwisho.

Ahsante Lowassa kwa kutujulisha kuwa hao ndiyo waliokuwa mafataani waliokuwa wanatukosesha ushindi miaka yote.

Tujadili.

Naona mmeanza kujisalimisha mmoja baada ya mwingine...mwisho mpaka JK na kaka yake Mkapa watakuja UKAWA!:cool:
 
Maadam Kikwete kisha muita Lowassa 'Mchawi" inatosha....huwezi kumjua Lowassa kuliko Kikwete..

Na usisahau katibu kuu wa chadema Slaa alimwita Lowassa fisadi. Leo vipi? Fisadi kawa msafi, na yule aliyesemwa msafi kawa fisadi zaidi ya fisadi? Au?
 
Back
Top Bottom