Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Sasa hivi sina muda wa kubembeleza mtu, anayetaka kuondoka na aondoke salama. Namchukia sana mtu anayetaka kuyasaidia ma-ccm kubaki madarakani. Tunayo kazi moja tu, nayo ni ya kumng'oa mkoloni mweusi!!
 
Kwani Dr. Silaa si bado ana nafasi ya kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuchaguliwa. Hoja ya yeye kuondoka mbona haina msingi. hadi leo Dr. Silaa alikuwa amechukua fomu ya kugombea uraisi?

Fomu ya urais Chadema haitolewi kwa mtu mwingine yeyote,ni fomu moja tu kwa Edward Ngoyai Lowassa.Mtu mwingine yeyote haruhusiwi kuchukua fomu.

Usichanganye na CCM ambako fomu ilikuwa ruksaa ya kila mwanachama.
 
Dr slaa akiondoka CHADEMA hakukuwa na haja ya Lowasa kuja then....unakuwa umepoteza mtu muhimu kwa mgeni wa siku moja
 
Sasa hivi sina muda wa kubembeleza mtu, anayetaka kuondoka na aondoke salama. Namchukia sana mtu anayetaka kuyasaidia ma-ccm kubaki madarakani. Tunayo kazi moja tu, nayo ni ya kumng'oa mkoloni mweusi!!

Utamng'oaje mkoloni mweusi kwa kumpa urais?huyo Lowassa ambaye nyuma yake kuna Rostam, Andrew Chenge, Karamagi na wachafu wote unaowaogopa CCM ni hatari zaidi kuliko Magufuli ambaye hana hao mafisadi nyuma yake
 
Dr slaa akiondoka CHADEMA hakukuwa na haja ya Lowasa kuja then....unakuwa umepoteza mtu muhimu kwa mgeni wa siku moja

Siwezi kuvumilia kumpoteza Slaa sababu ya Lowasa.....Lowasa hawezi kushinda bila Slaa....
 
Je Slaa kakasirika sababu Lowasa kasema ukweli?
Je kakasirika sababu ndoto yake ya muda mrefj haitafanikiwa
 
Kama kweli hongera zake sana dr
 
Acha ujinga ww umekuja raha yako kisa Lowasa anagombea unajua tulikotoka na harakati za chama hiki mpaka wengine tulifukuzwa vyuo kisa Cdm.
Sio siri kama Mbowe ulikuwa hujakubaliana na Dr Slaa, ukafanya maamuzi ya kibabe, wengine tutakaa kando japo ccm wala act siwezi kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…