Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,637
Acha kujificha nyuma ya avatar ya kike....Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki
Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?
Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu