Dr. Vincent Mashinji amesema muda huu mawakala wao wamepewa viapo, tayari kusimamia na kuhakikisha upigaji kura .

Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Acha kujificha nyuma ya avatar ya kike....
 
Ni aibu sana kwa NEC na CCM kutumia miguu na mikono kuwaza badala ya akili.

Niwatakieni vyama vinavyonyanyaswa ushindi mnono kwa chaguzi za hapo kesho.

CCM hawafai kabisa kwa tabia hizi wanazozionesha kupitia NEC na kuwachonganisha polisi na wananchi.

Tena, tuombe wale jamaa wa ICC waanze kuangalie watu wa kuchukulia hatua kutoka NEC na CCM maana, polisi wanalazimishwa kutumia nguvu kwa mambo ambayo hayahitaji hata nguvu ya sisimizi.
 
ICC kwenye kesi ya Kenyatta na Ruto walijitoa ufahamu kabisa wakawa kama kuku aliyekatwa kichwa.
Ila hapa Tanzania tunaiomba ICC ianze kuangalia watu wote kutoka CCM na NEC kwa jicho pevu na la tatu.

Tanzania, hatutaki ujinga huo unaofanywa na wanasiasa uchwara mbuzi.
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Pale unapogoma kutumia akili utajikuta unaongea vitu ambavyo hata hujui
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Kumbe na wewe ni mbumbumbu kiac hiki.
 
Halafu Kesho Utasikia Propaganda za Chadema Kuwa wameibiwa Kura.

Troll JF ,
Mkuu,

Dalili ya mvua ni mawingu.
Kwa dalili zote zilizooneshwa na CCM na NEC hata CDM ikishinda na bado wakadai kuwa wameibiwa kura nakuhakikishia kuwa hakuna mtu wa kupinga.

Atakayepinga mtu yule anayetumua tumbo, miguu na mikono badala ya akili na Kichwa cha juu.
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Kibamia hujitambui
 
Ni habari njema, wawaachie wananchi wamchague mbunge wa o, atakaye shinda ashinde kwa halali, na atakaye shindwa ashindwe kwa haki na halali.
 
ILA HATUJUI FAULU YA UWANJANI KESHO MAANA USAJILI TYR UMEKAMILIKA SASA NI KIPENGA CHA REFARII DK 9O KESHO.
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
Kavae pedi wewe tarehe ndo izi
 
Back
Top Bottom