Dr. Vincent Mashinji amesema muda huu mawakala wao wamepewa viapo, tayari kusimamia na kuhakikisha upigaji kura .

Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu
CCM tumeishiwa pumzi kilichobaki sasa ni kutumia nguvu tu hakuna namna.
 
Angesema walipewa viapo lini
Itakuwa tangu siku za nyuma mnataka kudanganya wananchi kutafuta kura za huruma.. ha ha haaaa tumeamka hatupendi kiki

Kwanini wanaficha kuwa mawakala wao walishapata hayo na hata hawataji namba.. leo wanasema eti wamepewa huku wanadai walitawanishwa eeeeeh hivyo wamekutana wapi kukusanywa kwa viapo?

Uongo mwingine bomu kabisa sema mliitea mkawaficha labda kusubiria usiku mjidai walikataliwa.. uongo mtupu ya mauaji yamewashinda ya mwenzenu

Ni kweli huu ni uongo tena ni uongo haswa kama ambavyo baba yako alivyodanganywa kuwa wewe ni wake!
 
Back
Top Bottom