Al maktoum
JF-Expert Member
- Nov 23, 2022
- 510
- 690
Kiingereza kinaongelewa na 95%+ Afrika kuliko kiswahili.KISWAHILI Kinaeleweka na Asilimia 95+ ya Watanzania.
Sisi ni Waafrika tunapomuabudu MUNGU/NGAI tutumie Lugha yatu ya Kiafrika.
Sasa kama hoja ni lugha yenye watu wengi kwanini msisali kwa lugha ya kiingereza kinachotumiwa na watu wengi kuliko kiswahili?! Au shida yako unataka kila nchi Afrika iwe na dini yake badala ya waafrika wote kuwa na dini Moja?! Ukileta ubaguzi huo wa waafrika kuwa na dini tafauti tafauti huoni unaenda tafauti na mvutabangi mwenzio bob Marley aliyeimba wimbo unasema. "Africa unite" akimaanisha waafrika waungane?! Sasa waafrika wataungana vipi wakati kila nchi ina dini yake?!