Hijabu ni maelekezo ya Quran,kasome suratin nisa',kabla ya uislam waarabu wanawake wakienda uchi kama akina kajala,hakuna lugha ya uislam,una uhakika kanzu ni ubunifu wa mashariki ya Kati?!..kabla ya uislam mahari arabuni ilikua ni ya wazazi kama wasukuma na wamasai, uislam ndiyo umeelekeza mahari ni ya muolewaji