Dr. Ulimboka is smart and good Now..


madai yao yalikuwa hayawezekaniki kulipwa maana ni sawa na bajeti nzima ya nchi kutumia kuwalipa
 

ulitaka michango ya watu ifanane na yako. acha udikteta mawazo yanatofautina baina ya watu na watu. ndio maana ni jukwaa huru kutoa maoni
 

Ngoja niamini hizi data ni za kweli. Huwezi amini madai haya yamejaa ubinafsi na uchoyo. Mwalimu anapewa laki mbili na nusu kwa mwezi na hana chanzo chochote kingine kama wao walivyo na pharmacy, just imagine! Siamini kuwa medicine au pharmacy ndio ya thamani zaidi ya fani zingine, kudai maslahi sio tatizo, tatizo ni kiwango wanachodai, khaaa!
 
madai yao yalikuwa hayawezekaniki kulipwa maana ni sawa na bajeti nzima ya nchi kutumia kuwalipa

kaka wewe kwanini unakuwa na mitazamo iliyokwama?
unafurahia sana kuona matajiri na wanasiasa wakienda kutibiwa South Afrika na India
while maskini wasiojiweza wakifia muhimbili kwa mambo madog yanayoweza kurekebishwa na
serikali?

kwanini ushabikie jambo hili kwa mtazamo hasi?
Hoja ya msingi ya akina Ulimboka ni mazingira bora ya kazi
 
Najua Tanzania na nchi nyingi za Africa tuna matatizo kwenye sekta za Afya tofauti na nchi zilizoendelea lakini lazima ujue maendeleo hayaji kwa siku moja,ulaya wameanza kuendelea toka karne ya 15,kamwe usijifananishe nao.

Chifu, umeongea vizuri sana.....ila hapo kwenye hayo maneno umeharibu.

Ni kweli Ulaya wameanza kuendelea kutoka karne hizo, ila unasahau kitu kimoja mazingira ya kipindi hicho na sasa yanatofautaina sana. Miumbomsingi ya maendeleo iliyokuwepo kipindi hicho, ni tofauti na iliyopo sasa.

Sasa kuna advancement katika kila miumbomsingi hiyo, kuanzia teknolojia, mawasiliano, usafirishaji, rasilimali watu n.k. Kwa maana hiyo, nchi kama yetu Tanzania hatupaswi kuchukua miaka 100 kuendelea kwa kigezo cha kusema eti Ulaya walichukua muda mrefu kuendelea. Nchi zetu zimerahisishiwa sana kuendelea sasa, ni kiasi cha kutransfer teknolojia muhimu za kusukuma maendeleo kutoka huko zinakotengenezwa na kuja kwetu. Pia kusomesha vijana wetu katika fani mbalimbali kwenye vyuo bora kabisa duniani, ili warudi na kuja kutumia ujuzi na weledi walioupata kwa kusukuma maendeleo ya taifa.

Nakupa mfano tu, nchi za Uchina, Korea ya Kusini na zile za Tiger Economies, zilikuwa maskini miaka 30 hadi 50 iliyopita. Kwa nini zenyewe hazijachukua miaka 100 kuendelea?!
 

tatizo la afrika ikiwemo tanzania ni viongozi. ata mkigoma kama viongoz mliowachagua na kuwaita chaguo la mungu wakukataa basi.
huo mgomo wa madaktari hausaidii wananchi zaidi ya kuwaua.

tatizo ni viongozi
 
tatizo la afrika ikiwemo tanzania ni viongozi. ata mkigoma kama viongoz mliowachagua na kuwaita chaguo la mungu wakukataa basi.
huo mgomo wa madaktari hausaidii wananchi zaidi ya kuwaua.

tatizo ni viongozi

Kama tatizo ni viongozi mgomo wa madaktari chini ya Uongozi wa Ulimboka (Dr) ulikuwa ni msingi mzuri kwa sisi sote kama taifa kuungana kuleta marekebisho ya sekta ya afya lakini wengi wenu mlikuwa mstari wa Mbele kuvuruga ili tuendelee kufanya maigizo na afya za watu. Viongozi wa Afrika namna pekee ya kuwaogopesha wafanye kadri ya matakwa ya wananchi ni kupitia migomo inayoungwa mkono na wananchi wengi zaidi. Kinyume cha hapo tutasubiri hadi karne ya 40. Wenyewe Hosp. Zao ziko nchi ambazo marais wao wanajali sekta ya afya , hospital za nchini wanazitumia wakati wa kutoa pole kwa waliopata ajali
 

Kuwa makini na matumizi ya "ha" na "a" muhuaji, mahafa etc
 

nyie ndio mnaitwa dickhead!

Rais wako amekwenda USA kutibiwa!Gharama shs ngapi?
Waziri wa Fedha tulisikia yuko South Africa kwa matibabu.

Hizo gharama zote nani analipa?mlipa kodi,ambae anatibiwa Muhimbili,hospitali ya Wanyonge
 
wish mgemjua huyu ulimboka vizuri msingembeza na kumsema vibaya kwa mimi niliyefanya nae kazi namuelewa vizuri tu ni dr mzuri sana na fanisi kwenye kile anachokifanya but mbali na hiyo mishahara hduma ni mbaya kwasababu vifaa hakuna huko mahospitali sm time unaingia kazini unamuangalia mgonjwa hata hujui uanzie wapi sababu tu vifaa hakuna ukiandikia report unaambia fungu hakuna sasa kama serikali haina fungu mimi mfanyakazi nimsaidieje huyu raia kwa namna hii wataendelea kufa ndugu zetu huku hao waliomng'oa meno wanaenda kutibiwa india.

nafikiri yeye aliwakilisha tu madai ya wafanyakazi wote wa sekta ya afya lkn luck was not on his side yeye akaonekana mbaya na mwenye kuchochea zaidi. laiti vifaa vingekuwepo utendaji wa kzi ungekuwa rahisi sana na mishahara isingekuwa big deal sana watu wangeelewa. ila tatizo mishara duni, bado vifaa hakuna,wagonjwa wanalala chini,dawa hazitoshi huyohuyo dr anatibu zaidi ya idadi anayotakiwa kutibu kwa siku huduma bora itatoka wapi tunabaki kumsimanga ulimboka i wish ningeweza kuwachapa viboko hao viongozi na kuchukua hizo posho wanazokalia huko bungeni zisaidie wagonjwa
 
Watu wana ujasiri wa kutoa maoni kwenye mambo ambayo hata undani wake hawayajui!

Inasikitisha...

Bana undani sisi hatuutaki tunakumbuka tu jinsi huyu mpuuz Ulimboka alivyowaua watu kwa upuuz wake na jinsi yeye pia alivyoshughulikiwa. Hasa kugeuzwa friji kwa kuingiziwa chupa ya fanta.
 

Bana undani sisi hatuutaki tunakumbuka tu jinsi huyu mpuuz Ulimboka alivyowaua watu kwa upuuz wake na jinsi yeye pia alivyoshughulikiwa. Hasa kugeuzwa friji kwa kuingiziwa chupa ya fanta.

mateso aliyopata kamwe hawezi anzisha mgomo tena
 

mkuu ulisahau sifuri moja, nimekuongezea kwenye red
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…