Dr. Ulimboka is safe and stable

Basi nimekuelewa Mpwa ila naskia BBC walisema yuko ICU sio kwamba amekufa, ila kuan taarifa zilizagaa hapa kuwa jamaa kavuta. Ok tumuombee uzima
Sio wapuuzi ndugu, ni mtangazaji wa BBC ndo alianziasha hii, nilimsikia mwenyewe saa 12:00 asubuhi. Nilikosa raha kwa kweli. Tuendelee kuomba jamani kila mtu kwa imani yake, hata wale wapagani ombeni tu mungu atawasikia.
 
Now I CAN ENJOY MY HENEKEN, KWAKWELI NAMTAKIA AFYA NJEMA NA UPONYAJI WA HARAKA HUYU KIJANA
 
1. Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
2. Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya maji ya utulivu huniongoza.
3.Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
4. Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya; kwa maana wewe upo pamoja nami, gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
5. Waandaa meza mbele yangu, machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, na kikombe changu kinafurika.
6. Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu; nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
(ZAB 23:1-6)
 
Prayers of genuine patriots of Tanzania have been heard . Steven Ulimboka is no longer in danger. Thank God!!!!!!!!!!!!

ni kama mbuga za wanyama simba wawili wanakamata nyati mmoja nyati mia wanakimbia na kumuacha mwenzao. ulimboka ni mwema kuliko wanaopanga bajeti za afya nchini.
 
Waacheni watoto wadogo waje kwangu, maana ....., walitaka kumdhulumu uhai Dr. Uli, wachumia tumbo hawa! Mungu husimama penye haki! Ahsante Mungu!
 
Back
Top Bottom