Dr. Ulimboka is safe and stable

Dr. Ulimboka is safe and stable

Kuna meseji tata zinasambazwa na wahuni
 
That's a VERY high demand and I don't think it can happen easily. Reformation of the National Intelligence is very crucial.

Kwa hiyo unaridhika na huu utendaje wake? Na kibaya zaidi hata kuuwa mtu ambae hakuwa na silaha imeshindwa!

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
afadhali,nilisitisha kabisa kuingia jf leo baada ya ile habari asubuh!asante yesu
 
Tumeanza na Mungu,tutamaliza na Mungu! Pona mapema Mpiganaji,Daktari Stephen Ulimboka!
 
thanx GOD Daktari yupo alive, Arudi aje awaumbue wazee wa mabwepande mmoja hadi mwingine
 
These are painful news for whoever engineered the failed assassination,
They had a moment of relief this moment, only brief.
Ulimboka is vibrantly coming back!
expose!
 
Naamini kila mwanadamu ataonja mauti ila naomba Mungu amponye huyu jamaa kwani ikitokea akamchukua watu wengi sana wataumia
 
Back
Top Bottom