Dr. Ulimboka is safe and stable

haya ni maneno ya mwenyekiti wa MAT Dr Namala Mkopi.
Dr ulimboka anaendelea vizuri na pia hayuko kwenye coma!
Thanx JB.....i apreciate by the way do you know where Jason bourne is? simuoni tu kwenye hili sakata....
 
Do hiyo heading ilinishtua,maana yake iko kipande.
Thank God ,tunamwombea apone,ili tuangushe wote kwa pamoja uovu huu,na Tanzania tuliyoahidiwa na Mungu Ichipue na Kumea na hatimaye watoto wa watoto wetu wafaidi matunda ya tunachokipigania.
 
Get well bro, ni watz wachache sana watakaojua umuhimu wako ktk nchi yetu, wengi wachumia tumbo tu
 
Kuna wapuuzi fulani tangu asubuhi walikua wanaweka taarifa za kijinga hapa, na watakufa wao wenyewe
Sio wapuuzi ndugu, ni mtangazaji wa BBC ndo alianziasha hii, nilimsikia mwenyewe saa 12:00 asubuhi. Nilikosa raha kwa kweli. Tuendelee kuomba jamani kila mtu kwa imani yake, hata wale wapagani ombeni tu mungu atawasikia.
 
Akhsante Yesu! Maana nilitokwa na machozi kwa ujumbe ambao niliukuta hatahapa,sasa naukuta ujumbe huu wenye kufuta machozi na iwe hivyo.
 
GOD is good! eeehuu! angalau sasa ntapumua,Waitress ndovu moto tafadhali
 
mwenyezi mungu mwingi wa rehema atamlinda na atamponya maradhi aliyosababishiwa na hao wadhalimu na atarudi nyumbani a hero. amen
 
nakushuru MUNGU KWA KUTUFUTA MACHOZI, TUNAKULILIA UMPONYESHE MTUMISHI WAKO ULIMBOKA, LAKINI SI KWA MATAKWA YETU BALI KWA MAPENZI YAKO, NA KWA NJIA YA KRISTU BWANA NA MWOKOZI WETU
 
Let me guess, BBC waliamua kutoa habari za taharuki na hivyo kuwafanya wanafamilia na madaktari waone kuna ulazima wa (pengine) kumuonesha Dr Ulimboka kwenye vyombo vya habari. Kwa kufanya hivyo watakuwa wametangaza mahali anapopata matibabu Dr Ulimboka - putting his life in even greater danger! BBC!
 
Back
Top Bottom