Dr. Ulimboka is safe and stable

Mutasa ataanza kufa yeye, siku zote halipoti habari za mgomo harafu anasema wanadai mishahara. Huyu kijana ni mpuuzi sana amuulize Tido muhando amwambie walichomfanya. Mjinga sana huyu, harafu alijitafutia kisafari tu maana habari zikiwa hapa hakuwa anazireport
 
credibility ya BBC inazidi kushuka!
 
Hivi wa Tz bado tunaiamini bbc . Mbona imejaa makada wa ccm ona jinsi habari ya mgomo wa madoctor tz wasivyo ipa nafasi .bbc ni sawa na tbc siku hizi.
 
naamini mgomo utaendelea mpaka ulimboka atakaporudi.suluhisho la mgomo huu ni mazungimzo ya dhatina sio propaganda kwenye media!
 
naamini mgomo utaendelea mpaka ulimboka atakaporudi.suluhisho la mgomo huu ni mazungimzo ya dhatina sio propaganda kwenye media!
 
Afadhali... Maana mimi nilipoona ile thread ya kuwa 'he's no more' niliipotezea sikutaka hata kuifungua.
 
haya ni maneno ya mwenyekiti wa MAT Dr Namala Mkopi.
Dr ulimboka anaendelea vizuri na pia hayuko kwenye coma!

Safi sana tunamuombea apone kabisa ili aje awaumbe akina fundi mchundo,maana wameishatuchosha midomo yao isiyokuwa na gavana.
 
Siridhiki nao precisely. Ninachodhani ni kwamba utendaji wao unaingiliwa. It's suppose to be independent.

Ndiyo maana nasema inapaswa ivunjwe na isukwe upya. Hatuwezi kuendelea kuwa Idara ambayo Viongozi na Watumishi wake wanakubali kutumika (Kuingiliwa) kinyume na majukumu na malengo ya Idara. Kama leo wameweza kupanga kuua yule, ni wazi kesho wanaweza kupanga kuniua Mimi na kesho Wewe huku wakiacha watu wanaiba na kuficha pesa nje ya nchi! Kati ya Idara zenye Viongozi na watumishi wajinga nchini hawa wa TISS wanaongoza.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

tumbiri@jamiiforums.com
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom