Mwenyezi Mungu mwingi wa karama na haya yote yalompata Ulimboka yalikuwa lazima yatokee ili sisi tupate kujifunza na kuwa wabora zaidi na pengine kuchukua maamuzi magumu zaidi. Sasa jamani, sii kila siku mnasema JK dhaifu ilihali sisi wote ni wadhaifu vile vile kama yeye ktk kuchukua maamuzi magumu tunawalinda wale wale tunaowakemea siku zote.
Mimi siku zote nasikia domotindi tu, sijui ikitokea hivi watatukoma! Leo Dr.Ulimboka amelala peke yake Hospital watu wengine ndio kwanza wanatafuta vijiwei ktk Club za bia kwenda danganya watu wengineo wakati undani wa swala hili unauma zaidi. Kuna kina Ulimboka karibu 100 ICU huko Mahospitalini ambao wao hawapati huduma ya matibabu kwa sababu ya mgomo wa Madaktari na Mungu mwingi wa makarama katuonyesha leo kamweka Dr wetu Ulimboka ktk kiatu cha wagonjwa maana angeweza kabisa kumwondoa roho akiwa porini lakini kamleta Hospital awe na wagonjwa wengine walokuwa ktk hali kama yake mwenyewe (aonje joto la jiwe).
Watu mnamwombea Mungu sana apone na kuilaani serikali ambayo nyote bado mnaitumikia na kuwalinda hawa hawa mnaowalaani. Aaaah! Mola wangu wee nimechoka na Unafiki wa Wabongo jamani!..
acha upumbavu,, tena funga huo mdomo wako kama umekosa cha kuchangia., badala ya kujenga wewe unabomoa.
Na ninyi???????? ivi hakuna hakuna habari nyingine?
kuna kitu amelishwa huyo na anaweza potea bila kuongea chochote kile inabidi kitu kifanyike mapema ukweli ndo unapotea hivyo lets only play
Umeingia kufanya nini? Mijitu ya mabwepande utaijua tu!
Nimemuona mkeo akitokea guest na jamaa mmoja.Na ninyi???????? ivi hakuna hakuna habari nyingine?
Mkandara, kwa heshma zote ningeshukuru kama ungetoa hii hoja siku na wasaa mwingine. Timing yake is very painful to read. Dr Ulimboka ameng'olewa meno na plaizi, ameng'olewa kucha, amevunjwa mbavu, mikono, taya. Unaweza ukawa na muono tofauti kuhusu huu mgomo wa madaktari, lakini kama nilivyosema nimefadhaishwa sana na comment yako kwenye huu uzi unaongelea hali ya Dr Ulimboka kubadilika ghafla! I almost felt kama mtu kanipiga teke la tumbuno.Mwenyezi Mungu mwingi wa karama na haya yote yalompata Ulimboka yalikuwa lazima yatokee ili sisi tupate kujifunza na kuwa wabora zaidi na pengine kuchukua maamuzi magumu zaidi. Sasa jamani, sii kila siku mnasema JK dhaifu ilihali sisi wote ni wadhaifu vile vile kama yeye ktk kuchukua maamuzi magumu tunawalinda wale wale tunaowakemea siku zote.
Mimi siku zote nasikia domotindi tu, sijui ikitokea hivi watatukoma! Leo Dr.Ulimboka amelala peke yake Hospital watu wengine ndio kwanza wanatafuta vijiwei ktk Club za bia kwenda danganya watu wengineo wakati undani wa swala hili unauma zaidi. Kuna kina Ulimboka karibu 100 ICU huko Mahospitalini ambao wao hawapati huduma ya matibabu kwa sababu ya mgomo wa Madaktari na Mungu mwingi wa makarama katuonyesha leo kamweka Dr wetu Ulimboka ktk kiatu cha wagonjwa maana angeweza kabisa kumwondoa roho akiwa porini lakini kamleta Hospital awe na wagonjwa wengine walokuwa ktk hali kama yake mwenyewe (aonje joto la jiwe).
Watu mnamwombea Mungu sana apone na kuilaani serikali ambayo nyote bado mnaitumikia na kuwalinda hawa hawa mnaowalaani. Aaaah! Mola wangu wee nimechoka na Unafiki wa Wabongo jamani!..
Na ninyi???????? ivi hakuna hakuna habari nyingine?
Hekima inadai tusichangie kila hoja, ukiona haikuhusu au huipendi unaishia kimya kimya. Grow up guy.
Play!!? keep on playing while our fellow is under intensive care?? No!!
Mungu atamjalia na atapona
Mungu atamjalia na atapona
kuna tetesi kuwa hali ya Dr Ulimboka sio nzuri kwa sasa.
Tuendelee kumuombea.
Haya maelezo ya mwanajf lasikoki yanashabihiana na taarifa nilizozipata.