Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

Haki ya kuweka rehani uhai wa wagonjwa wetu. Huyo jamaa ni Mungu anamuonesha maana ya kuumwa ni nini, na bado.

**** ****...Mungu anaionyesha seriakli hakuna mwenye nguvu zaid yake yy alietuumba!kuumbuka kubaya
 
Ukiwa umepangiwa kufa UTAKUFA TU HATA MGOMO USIWEPO..... satisfied.... ur a failure....!!! 100% & even u failed to understand nani chanzo cha mgomo... ni serikali.... Hivi madaktari wadai vifaa na maslahi kidogo sana say around tshs 21 billions increment SASA AJABU HUJUI ETI SERIKALI IMETENGA TSHS 200 kuleta madr kutoka nje..!!!!!!!!!!!!!!!!?????????? ujue hii ndio upuuzi na ww unatetea
kwa maana hiyo bora hao madaktari wafukuzwe tu halafu yote tumwachie mungu.
 
**** ****...Mungu anaionyesha seriakli hakuna mwenye nguvu zaid yake yy alietuumba!kuumbuka kubaya

Sisi tuna uhakika sio Serikali, lakini kama mlivyokaa kimya kwa ufataani wa Simbachawene na katika hili mtakaa kimya. Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Jibu analo Kikwete ndiye mwenye wajibu wa kuwatibu siyo ULIMBOKA, kwani ulimboka anachukua kodi ya watanzania ili atoe huduma, kama serikali ina pesa siyo lazima itumie madaktari wa Tanzania inaweza kuagiza nje. Ulimboka hana mkataba wa kukutibu wewe hivi leo madaktari wakasema hawataki tena hii kazi serikali itafanya nini kwani siyo watumwa wanafanya kazi wakipenda kama kada zingine ina maana serikali itawaambia wananchi kuwa hatuna madaktari hivyo hatutoi huduma ya afya
What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
 
Ziada ya kipato kukipata kupitia roho za watu huu ni ufreemasons,najiuliza kama mlikuwa hivyo mmefuata nini huko afya,iko wapi kujitolea kwenu kwa ajili ya afya zetu,politcs in profesionals is more harmful than expired medics,
lol drs

you and zomba please mnaonekana sio watanzania halisi ,pia elimu yenu ninamashaka nayo au mna ugonvi binafsi na Dr ulimboka.hakuna nchi duniani mtu aliyesimama kutafuta haki kwa wananchi akaangalia walioathilika ,huwa tunaangalia tutaponesha wangapi mungu alipoteketeza dunia kwa ajili ya uhalifu wa mwanadamu hakuangalia watu watakufa na wangapi watapona.haki mara nyingi inamachungu yake

hivi mnafurahia watu wanavyokufa bila kupata huduma mnaipenda vp hii nchi,mfano ambulance za bajaji zilizotolewa sehemu mbali mbali nchini ww zomba unaweza bebewa humo ,unaweza jilaza humo ,kitu kimeka kama jeneza hata hivyo njia gani zitapita vijijini ,utaona tu serilikali yy dhamana ya kuakikisha kila raia ana haki ya kuishi inapolwa hivihivi tunaona

swali unalo uliza nani anawajibika na watu wanaokufa wakati wa mgomo ,nenda kasome katiba iko wazi nani anahusika na jukumu la afya za watanzania ni serikali ,madaktari ni watekelezaji sera za serikali iliko madarakani kama haini hizo ni bora na mtoa huduma anaona huwajibi akuangalie tu.

tufike watanzania tusiwe wajinga,damu ya dr ulimboka kama alivyosema ni chache ya kupata haki kwa watanzania isisahaulike kirahisi,ikumbukwe kama wanavyombukumbuka nightgery mwanzilishi wa huduma za waunguzi duniani

ombi kwa wapingaji fikilia kwanza inside and outside the box hata yesu aliposulubiwa hakuwa hana kosa isipokuwa aokoe wengi wasiende kwa shetani .
 
Chachu gain hyo ya kuumiza Watz wengi na kupendelea wachache.
 
Chachu gain hyo ya kuumiza Watz wengi na kupendelea wachache. Watanzania wrote hawamuungi mkono kwa hiyo dhamira yake.
 
Chachu gain hyo ya kuumiza Watz wengi na kupendelea wachache. Watanzania wrote hawamuungi mkono kwa hiyo dhamira yake.
Walikuwepo wenzio akina ms na ff siku hizi wamejitambua kuwa walikuwa wajinga kama wewe na akina zomba ,mama porojo,mark ii etc
 
Sisi tuna uhakika sio Serikali, lakini kama mlivyokaa kimya kwa ufataani wa Simbachawene na katika hili mtakaa kimya. Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Mr.layman habari ya simbachawene inaingiaje tena hapa? Au ndo mwisho wako wa kufikiri??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kabla ya Kikwete mlikuwa mnaweza kufanya operation za moyo hapa Tanzania? kabla ya Kikwete mlikuwa mnazo hata mashine za kusafisha figo?

Tuambieni kabla na baada ya ujio wake, mafanikio ni makubwa sana kupita kiasi. Nyinyi mna agenda za siri lakini hujuma zenu za kuweka rehani maisha ya watu zitajulikana tu.

umesomeka ASP Mokiri
 
Ziada ya kipato kukipata kupitia roho za watu huu ni ufreemasons,najiuliza kama mlikuwa hivyo mmefuata nini huko afya,iko wapi kujitolea kwenu kwa ajili ya afya zetu,politcs in profesionals is more harmful than expired medics,
lol drs

Mie nalaani kutekwa na kupigwa kwa dr ulimboka bila kujali lengo la kufanya hivyo ila tu kwa sababu ni binadamu.....pia nalaani vifo vya wagonjwa vinavyotokea ambavyo vingeweza kabisa kuzuiwa kwa mazingira yaleyale yaliyokuwepo ya utabibu. Madaktari mnatuulia ndugu zetu kwasababu ya siasa.....uhai wa binadamu hauwezi kurudi....kama mmeshindwa kuelewana na serikali kwanini msitujulishe sisi raia mnaotutibu tukawachangia? mbona tunachangia vyama vya siasa, harusi, mwenge pamoja na umaskini wetu??? Mlikosea madaktari mmekiuka kiapo chenu cha kuokoa maisha.....mnatumia uhai wa ndugu zetu kwa kudai maslahi yenu.......kwasababu uhai wa ndugu zetu ni muhimu kwetu kwasababu hauwezi kurudi tunawaomba mrudi kazini ili muokoe maisha ya ndugu zetu kama mnavyohangaikia ya dr ulimboka.....sisi kwetu wote ni binadamu na wanahaki ya kuishi. Juzi naibu kapata ajali mbona kahudumiwa?? Au kuna watu ni muhimu kuliko wengine? Tafadhali uhai ni muhimu sana kwetu sisi walalahoi rudini kazini tutawachangia pamoja na ufukara wetu. Daktari akigoma ni sawa na rubani anayegoma akiwa angani....... nawasilisha
 
Katika kudai haki lazima wengine waumie ili baadaye wengine wengi wanufaike.
 
Na damu ya watanzania wote waliokufa na wanaondelea kufa na iwe juu yake.na kila dakika anayoitumia hapa duniani ayasikilizie maumivu aliyowaletea mamia ya wagonjwa hapa nchini.
Asipate mtu wa kujitolea figo na hata akipata ASIKANYAGE TENA TANZANIA NA AKIKANYAGA AKUTANE NA GHADHABU ZA WALE WALIOPOTEZA NDUGU NA JAMAA KWA AJILI YA VITENDO.
NA HII LAANA IMWANDAME MPAKA SIKU ATAKAYOINGIA KABURINI.AMEEEN.
 
Katika kudai haki lazima wengine waumie ili baadaye wengine wengi wanufaike.

una maana tunachagua yupi wa kufa?....naibu waziri kajeruhiwa akahudumiwa....dr ulimboka kajeruhiwa nae kahudumiwa na sasa anaenda india kwa matibabu zaidi..... ila yule ndugu yangu yeye ndiyo afe kama mbwa pale muhimbili?? Kwahiyo uhai wa ndugu yangu unautumia kwa maslahi yako......Hii haikubaliki!
 
Kwa maneno uake Dr ULIMBOKA ametoa kauli ya kishujaa na kutia shime na hamasa katika mapambano yanayoendelea ya kudai haki katika kuboresha huduma za afya na maslahi ya madaktari

"Naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu wanaobaki waendelee ma mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana"

Source: ITV HABARI
Kauli ya kishujaa
 
Kauli ya kishujaa kishujaa kwa kuhamasisha madaktari kugoma kuwatibu wananchi wasio na hatia?
 
Apone arudi,,,hiyo sehem ya maisha,,,,hope one day vitendea kazi vitapatikana tu huko mahospitalini,,,,
 
nikionaga id yako naskiaga kichefuchefu,. Yani sjui nikiliona lisura lako ntatapika make unandikaga uhalo uliopitiliza

.........nadhani hukutakiwa kuwa hapa...........hapa tunajadili wazo si sura ya mtu mkuu........
 
Kauli ya kishujaa kishujaa kwa kuhamasisha madaktari kugoma kuwatibu wananchi wasio na hatia?

wananchi tuna hatia tena hatia kubwa sana,,,kwa wadogo zetu na kwa vizaz vijavyo,,,,,tunakubal kutibiwa kwenye mazingira magumu,tunakubali kuwaona wao wakipanda ndege kwenda india kwa tatizo la tumbo(refer maji marefu) wakat sisi tunakufa hapa,,,,,sasa kwanini tuna hatia???kwa sababu hatukemei wala kuhoj haya mambo
 
Back
Top Bottom