Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

Hospitali gani inafanya heart surgery TZ..mashine za kusafisha ziko ngapi?

Uko mbali kweli na hii dunia, haya mambo tunayaona kwa mara ya kwanza Tanzania katika kipindi hiki cha Kikwete, walikuwa wapi wa kabla yake? jiulize, kisha tazama hii, fata na link hizo chini, ujionee Kikwete kaifikisha wapi Tanzania kwenye health sector:

[video=youtube_share;r4V0-ighTBI]http://youtu.be/r4V0-ighTBI[/video]

integerafrica | news | Tanzania Cardiac Surgery Treatment & Training Center, Muhimbili National Hospital Dar Es Salaam - Building partnerships HICRA and integerafrica | medical research business intelligence and information management
 
nakuchukia sana! kupita najisi itokayo mwilini mwangu. NAMUOMBA MUNGU THAT IT WILL NEVER HAPPEN FOR U TO UREVEAL YOURSELF! I HATE U! I HATE JK! I HATE THE GOVERNMENT.

Hizo ni chuki zako binafsi na mimi hazinishtui hata kidogo. Chuki zenu ndio zinapelekea wagonjwa wetu kuwekwa rehani kwa kuwa una chuki binafsi na Kikwete? au kuna zaidi ya hapo? kuwa mkweli na ujuwe kuwa chuki unazojazwa hazikusaidii wewe wala mwingine yeyote bali zinakuzidishia zahma ndani ya moyo wako. Hakika wana maradhi katika mioyo na Mwenyeezi Mungu atawazidishia hayo maradhi:

Q. 2:10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo.

Dah! K....make JK!

Anaua ili apendwe!

Sumaye alitabiri haya kuwa..anaetumia kalamu kuchafua wenzake ili aingie ikulu, siku akiingia ikulu atatumia risasi kutawala! Yametimia.
Kweli ila mi najiuliza hawa vitambi tutaendelea kuwaacha mpaka lini? Kama vp tulianzishe basi... Au?
 
Nadhani na we ukapelekwe India ukapimwe kichwa chako,coz mirembe akuna kifaa cha kuweza tatizo lako!! Kama una hoja, usiwe unalopoka,nyamaza! Ivi uwaoni watu wanavyo po teza maisha kila siku,kwa kukosa vipimo coz ya vifaa amna?? Sa dr.uli. Anavyo pigania,si kwa faida ya wote?
 
we nenda bwana, damu ngapi na uwahi wa watu wangapi unapotea kwasababu ya migomo yako. usijifanye nabii km umeandikiwa kufa utakufa tu usituchose na mahubiri yako.:wacko:
 
Hii kauli imenihamasisha kweli, naungana mkono na madaktari.. tumechoka kuambiwa dawa hakuna, vitanda hakuna, vipimo hakuna, madaktari wa kutosha hakuna n,k
 
tunapoelekea kuna umuhimu wa kutangaza mgogoro na watawala pamoja na wafuasi wao, walisema kumchoma sindano ya sumu dr ulimboka wakati sindano zinapatikana muhimbili na ivo ma dr wanaweza kutangaaza mgogoro kwa wafuasi wa hawa wauaji waliotaka kumuua dr. Ki ukweli kati ya walinzi na watawala wa inchi hii ni wachache sana wanaotibiwa nje ya nchi ivo bado mnh , bugando, kcm wanayo nafasi ya kufunga goli waliloshindwa kufunga kwa mkwaju wa penalti/sum u kule mabwepande ambako timu nzima ya watawala walibaki na golikipa (dr Ulimboka)alafu uyu nyanda akapangua goli/kifo. Kwa kuwa wataalam wa magoli aya/sindano ni ma dr basi wanayo nafasi ya kuwaimili hawa wauaji na kizazi chao chote,uzuri ni kwamba ukienda ofisini kwao unajulikana kwa kitambulisho chako kabla ya huduma,apo ma dr wanayo nafasi ya kukuonjesha upande wa pili wa maisha!11!!!!!!! Jamani kuku wenu msimtupie mawe msituni msubili bandani...........kwa dr ni mahala pa kwenda hata usipokwenda utapelekwa hali hujijui ndo uko akina acp wanaweza kukutana na waasimu wao madr!!!!!!!1???????????/?/
 
Nadhani na we ukapelekwe India ukapimwe kichwa chako,coz mirembe akuna kifaa cha kuweza tatizo lako!! Kama una hoja, usiwe unalopoka,nyamaza! Ivi uwaoni watu wanavyo po teza maisha kila siku,kwa kukosa vipimo coz ya vifaa amna?? Sa dr.uli. Anavyo pigania,si kwa faida ya wote?
 
Unaitaji kupelekwe India kupimwa akili zako,coz mirembe akuna kifaa cha kuliweza tatizo lako!! Kama huna hoja, usiwe unalopoka,nyamaza! Ivi uwaoni watu wanavyo po teza maisha kila siku,kwa kukosa vipimo coz ya vifaa amna?? Sa dr.uli. Anavyo pigania,si kwa faida ya wote?
 
Mfano mzuri kuwa Mahospitalini hakuna vifaa ni huu wa Ulimboka. Je kama wewe ndio ungekuwa umepata matatizo ya ulimboka leo ungeweza kupelekwa nje ya nchi? Yeye ameweza kutokana na mchango wa madaktari wenzie.

Serikali iwezeshe sekta hii na iwasikilize wao kwani ndio watendaji wa shughuli za afya kila siku.
 
ni kweli inauma kuona ndugu wanakufa kutokana na mgomo lakin mimi nimeshuhudia nilipokua nipo wodi ya wazai kwa kweli achen wagome 4 gud kwan nilipelekwa hospital sa9 ucku sikupata kitanda kwan wajawazito wengi walilala kitanda kimoja3,wengine chini bado ukijifungua mnalala wamama zaid ya wa2 tene na vichanga vyenu basi inabid walale watoto wamama mkae tene chini.................hebu mnaopinga mgomo muangalie na upande wa pili wa shilingi kwa kweli hali ni mbaya
 
SIRIKALI inahangaika kila siku kuziba moshi usitoke nje ya nyumba, badala ya kuhangaika moto uwake ili moshi usitoke au kuzima kabisa kuni....Drs na moshi tu....matatizo yapo lukuki
 
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.

Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
Zomba kwa kweli nilikosea sana kugoma kwani naona kale kaugonjwa ka akili kanakujia kwa kasi na dawa za kukatuliza huna!!!!
Njoo leo nipo hapa kitengo nikuchome ile sindano ya kutuliza hizo akili!!!!
 
Uko mbali kweli na hii dunia, haya mambo tunayaona kwa mara ya kwanza Tanzania katika kipindi hiki cha Kikwete, walikuwa wapi wa kabla yake? jiulize, kisha tazama hii, fata na link hizo chini, ujionee Kikwete kaifikisha wapi Tanzania kwenye health sector:

[video=youtube_share;r4V0-ighTBI]http://youtu.be/r4V0-ighTBI[/video]

integerafrica | news | Tanzania Cardiac Surgery Treatment & Training Center, Muhimbili National Hospital Dar Es Salaam - Building partnerships HICRA and integerafrica | medical research business intelligence and information management
Of course niko mbali sana na dunia yenu ya maneno na mipango bila vitendo..hiyo surgery moja iliyofanyika for launching kwa msaada wa wachina na wahindi ndio unatupigia kelele hapa. Nini kinaendelea bada ya hapo?
Kadangaje wenzio wenye upeo mdogo wako na wanaofikiri kwa msaada wa pepo..sio sisi?
 
Umesoma na link ya hapo chini kujuwa nini kinaendelea baada ya hapo? au nikuwekee habari yenyewe ujuwe nini kinaendelea?

Nna uhakika unapata habari za upande mmoja tu unatiwa maamuzi bila kutaka kuujuwa ukweli, na ukiwa ni wa namna hiyo hutokuwa mwenye kuhukumu vizuri. Jaribu kuutafuta ukweli, na ukweli hata kama unauma unakuwa ni ukweli tu.

Bora mtu akuchukie kwa ukweli wako kuliko kukukupenda kwa uongo wako. Fikiri!

Soma na hii kwa faida yako: http://www.tanzaniaheartinstitute.org/main.html
 
Umesoma na link ya hapo chini kujuwa nini kinaendelea baada ya hapo? au nikuwekee habari yenyewe ujuwe nini kinaendelea?

Nna uhakika unapata habari za upande mmoja tu unatiwa maamuzi bila kutaka kuujuwa ukweli, na ukiwa ni wa namna hiyo hutokuwa mwenye kuhukumu vizuri. Jaribu kuutafuta ukweli, na ukweli hata kama unauma unakuwa ni ukweli tu.

Bora mtu akuchukie kwa ukweli wako kuliko kukukupenda kwa uongo wako. Fikiri!

Soma na hii kwa faida yako: Tanzania Heart Institute - Main Page
Sasa kuna nini hapa, si hadithi tu since 2000..Tell me when and how many patients have undergone a successful heart surgery in Tanzania. Ukiniwekea hizo data na reliable source yake then tutaelewana. Otherwise, hizi hadithi kawaambie wale wazee wa Dar es Salaam mnaowakusanyaga Diamond.
 
Back
Top Bottom