jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Niia ya mazungumzo hata ichukuwe miaka 2, Jee ndio uwe gaidi na kuweka rehani na kuwaweka roho juu wagonjwa wasio na hatia. Wewe leo utafanikiwa kupatiwa mafao yako, na wale wagonjwa wanaotoka roho zao ambao ungeweza kuwatibu.
Huu simply ni ugaidi tu, na jinsi mnayowanyanyasa na kupokea t=rushwa kwenye mahospitali ndiyo maana hamuendelei na kila anaejiweza anakwenda kutibiwa nje. Nyinyi ni magaidi tu na kubwa lenu ndio hilo, sasa lijuwe maana ya kuumwa nini.
Zoba naona umetoka kucharge batery, na ujing'a umekukolea ile mbaya.