Mangaline
JF-Expert Member
- May 19, 2012
- 1,045
- 221
Katika kipindi hiki, tunaweza kujua, nani kwetu rafiki, na nani kwetu ni adui. " ASIYE UPANDE WETU, YUKO KINYUME CHETU." Kwa majibu haya, na kama kweli bado kuna watu ambao bado hawajajua kusudi la mgomo wa madaktari, na bado wana imani na taarifa za TBC, basi naamini safari ya ukombozi wa dhati iko mbali sana.