Dr.Tulia anazidi kukata mawimbi Kimataifa

Jinga babako alimwagia ndani yanayo fanyika mbeya ni madogo kulinganisha na vile inastaili,

Safiri basi nenda hata South utarudi ukaelewa nacho sema

Umekula leo maana huelewi kirahisi
Ona ambavyo inazidi kudhihirisha unyumbu wako,yaani Mbeya uanze kulinganisha na S.Africa?

Mirembe iliyoboreshwa ipo Kwa Ajili ya watu kama nyie,wahi kabla hujaharibikiwa zaidi.
 
Ndio inajengwa awamu ya Tulia
Mkuu tumsifie tu kwakua tayar ni mbunge lakn anafanya vtu very slow, Barbara nyingi zimekua rafu,.
Barbara inayotoka kabwe hadi ISANGA inaua bajaji zetu, ipo rafu mnoo utazanj hajawahi kua lamii.

Pita kote Barbara ya Meta ni viraka tupu,
Mafiat mpka rufaa ni viraka tu, Barbara hazina mpangilio .

Nafikiri zitarekebishwa hasa kipindi hiki Cha uchaguzi.
 
Very slow ndio maana yake nini? Kila kitu kinafanywa Kwa Mpango na kutegemeana na watoa Fedha ambao ni Serikali.

Mbunge anatoa pesa wapi? Yeye kazi yake ni kutengeneza connection na kuwasemea watu na ku push.

Hapo Mjini Kuna km 17 za lami via Tactic zinaendelea na ujenzi,Barabara sio madarasa kwamba miezi 6 zitakuwa tayari.

Hapo Mjini Kuna Stendi imeanza ujenzi ,unategemea itakamilika ndani ya mwaka mmja?

Hayo yote yakikamilika Mbeya itakuwa Mpya kabisaa kimiundombinu.

Hakuna Jiji hata Moja hapa Tanzania ambalo limejitosheleza Kwa Barabara Kila sehemu ni Kilio japo Dar na Dom ndio Wana nafuu.

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1817156239895236776?t=VQri0rslRumY1M8eAnTc-g&s=19
 
Kama unalijua Hilo kwann unamsifia wakati hakuna lililokamilika kwa 99%,

mbona stendi mpya karibu mikoa yote zimeshakamilika, Nenda Mwanza, Singida, Dodoma, morogoro stendi zao sio zile za toka enziii.
Ila hapa mbeya ni yaleyale ya miaka ilee.

Singida tu inaweza ikawa na Barbara chache zinazokata downtown ila zimenyooka sio hizi za mbeya
 
Kwa mara nyingine umeshindwa kujibu kile ulichokisema mwenyewe 🤪🤪🤪🤪

Muti ya exposure kutoka Kwa madiba imefungasha furushi la makamasi kichwani 😂😂😂😂

Kazi inaendelea njia 4 hapa 👇

View: https://youtu.be/UAUyrlZWsQY?si=KyG2yYfn5vvNTIz5

Mbeya inahitaji zaidi ya hizo njia nne kinyero wewe

Napenda sana mkoa wangu ila naumia kuona ngedere mwenye ufinyu na ukomo wa mawazo kama wewe

Tuachane na huu ufala wako hamna mashamba hapo mniuzie maana nilio nayo hayanitoshi

Na ingependeza zaidi yaliyo karibu na hii barabara (nipo serious )
 
Kama unalijua Hilo kwann unamsifia wakati hakuna lililokamilika kwa 99%,

mbona stendi mpya karibu mikoa yote zimeshakamilika, Nenda Mwanza, Singida, Dodoma, morogoro stendi zao sio zile za toka enziii.
Ila hapa mbeya ni yaleyale ya miaka ilee.

Singida tu inaweza ikawa na Barbara chache zinazokata downtown ila zimenyooka sio hizi za mbeya
Hili hapa haoijakamilika? 👇👇
images - 2023-08-27T215410.650.jpeg

Ulitaka nimtukane wakati kazi zinaendelea? Ni madarasa hayo? 👇👇

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1817156239895236776?t=VQri0rslRumY1M8eAnTc-g&s=19
 
Leo hii mbeya maji yanatoka Tope namaanisha tope kwa takribani masaa kadhaa unaweza ukatoa sifa Gani ya uwajibikaji hapo.
 
Back
Top Bottom