Dr.Tulia anazidi kukata mawimbi Kimataifa

Mbeya inahitaji zaidi ya hizo njia nne kinyero wewe

Napenda sana mkoa wangu ila naumia kuona ngedere mwenye ufinyu na ukomo wa mawazo kama wewe

Tuachane na huu ufala wako hamna mashamba hapo mniuzie maana nilio nayo hayanitoshi

Na ingependeza zaidi yaliyo karibu na hii barabara (nipo serious )
Kama unajua mnahitaji zaidi ya Hilo acheni kuhangaika na wapiga soga kina Sugu mtazidi kuchimbiwa shimono.

Kazi nzuri ya Tulia hii hapa 👇

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1826223095889510467?t=lApyFR_FoDHiHv16d83dIw&s=19

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1826223367802015811?t=vGHleJYnSwp3DguiBwXwpg&s=19
 
Inaonekana hata hapa mbeya haupo.
Wewe uliopo hapo una Msaada gani ikiwa hujui chochote kinachoendelea hapo Mbeya?

Hujui hata kama Kuna Tawi la Ocean Road Concer Institute inajengwa hapo

Hujui kwamba Ujenzi wa upanuzi wa Chuo Kikuu Cha MUST unaendelea

Hujui kwamba Kampasi Mpya ya Chuo Cha Adem Bagamoyo imejengwa hapo Mbeya kule Ituka

Hujui kwamba Uwanja wa John Mwakangale mda wowote unaaza kujengwa upya kuwa wa Kisasa mwaka huu

Hujui vitu vingi vinavyoendelea hapo Mbeya ila upo upo tuu.

Mwisho hata pale Songwe Airport, Serikali inaanza kujenga Coldroom Kwa Ajili ya mazao ya kutunzia mazao ya mbogamboga for shipments
 
Mkuu unayoyazungza pengine unaokoteza mahali fulani, Kila kitu natambua ila nmna kinavoendeshwa ni uhuni mtupu,

Swala la MUST kutanuliwa lilianza Leo, imekua ni sera miaka mingi, ndipo mwaka juzi anaglau wakafanikishwa JENGO la NEWLIBRARY.
Na mpaka sasa ndio Kuna majengo kama manne yapo on progress ila Hilo swala lilibwa mnoo.

HUEZ amini Kuna baadhi ya Facaty huezi zikuta zikitolewa mbeya,

Unaambiwa Kuna vyuo vingi ila ni limited Kuna masomo ukiyahitaji hawana,.
 
Tunapoteza muda kaka kumwelesha mtu asie taka kuelewa

Hili la must tangu au kabla ya 2009 halijaisha just imagine hata kukamilika kwake .......

haya yalikua ni mawazo ya miaka 15 ilopita... hayato dumu yatadai tena marekebisho au pengine mabadiliko kabisa.

Mtoa maada anapenda ubishi ubishi
 
Unaijua HEET? Nenda MUST wewe kaone majengo yanavyoporomoshwa acha stori za library.

Hakuna Chuo chochote hapa Duniani kinatoa kozi zote.

On top of that unajua kuwa pale Magorofani Kuna ujenzi wa CUoM unaendelea? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-VrdT0qCzc/?igsh=YnRtajBtNHVyNTF1

View: https://www.instagram.com/p/C-V-pNaqJDR/?igsh=MWZqcWl5aTA4ZDEzNw==
 
Tunapoteza muda kaka kumwelesha mtu asie taka kuelewa

Hili la must tangu au kabla ya 2009 halijaisha just imagine hata kukamilika kwake .......

haya yalikua ni mawazo ya miaka 15 ilopita... hayato dumu yatadai tena marekebisho au pengine mabadiliko kabisa.

Mtoa maada anapenda ubishi ubishi
Wewe nyumbu unajua maana ya Maendeleo lakini? Maendeleo Huwa Yana Ukomo? Wapi huko ambako maendeleo yamefikia Ukomo baada ya mawazo mapya?

By the way Mbeya Aya Tulia Ina Mabadiliko makubwa kila nyanja kuzidi kipindi chochote hapo Mbeya na mengine mazuri yanakuja 👇👇

Back
Top Bottom