Unaonekana mtoto wa juzi,ungejua tulikotoka na tulipo tunapaswa kushukuru haya maendeleo.Miaka 10?Vipi kuhusu miaka 64 na upo tu unashangilia mdundiko?
Mimi mtoto wa juzi?Wewe huwa unashukuru kila kitu hata ukijambiwa machoni.Unaonekana mtoto wa juzi,ungejua tulikotoka na tulipo tunapaswa kushukuru haya maendeleo.
Hueleweki wewe nyumbu.Project kubwa kwako ni kama zipi hizo? Taja 4 tuuHaina tija boss
Hii ni kama kumyonyesha kijana alie balehe
Mbeya inahitaji mambo makubwa zaidi ya project hizi za kizamani
Maana hii kukamilika kwake tu tayari inakua outdated
Tafuta exposure utanielewa
Mwandiko gani? Soma mada hiyo uone Tulia anachofanya na wewe utupe vya Sugu.Ndiyo umemaliza kwa mwandiko tu?🤣🤣
Ulitaka nchi iwe nini ili uridhike?Mimi mtoto wa juzi?Wewe huwa unashukuru kila kitu hata ukijambiwa machoni.
Ashukuru nini akat tunalipa kodi...Unaonekana mtoto wa juzi,ungejua tulikotoka na tulipo tunapaswa kushukuru haya maendeleo.
Kwa hiyo wakati Sugu akiwa Mbunge Kodi mlikuwa hamlipi? Maendeleo aliyofanya Yako wapi? Tena Halmashauri ya Jiji ilikuwa chini ya Machadema, maendeleo Yako wapi?Ashukuru nini akat tunalipa kodi...
Kwani tunaomba maendeleo?
Au tunataka maendeleo?
Nyumbu mama yakoHueleweki wewe nyumbu.Project kubwa kwako ni kama zipi hizo? Taja 4 tuu
Kama hujui hata nchi inatakiwa iweje,kuna haja yangu kupoteza muda na tutusa?Ulitaka nchi iwe nini ili uridhike?
Wewe nyumbu,hoja ipi? Wewe ndio nimekuuliza miradi mikubwa kwako ni ipi?Nyumbu mama yako
Jibu hoja kama msomi sio uniandikie matap tap hapa shenzi
Hakuna mwana Mbeya atampigia kura buninda aliyecharazwa virungu na Polis Majizi 😁😁
Bado hujasema 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C-7TtZPOqDo/?igsh=enh6OXVxMjg5anc3
Nyumbu baba na mama yakoWewe nyumbu,hoja ipi? Wewe ndio nimekuuliza miradi mikubwa kwako ni ipi?
Nyie nyumbu wa Chadema si mliongoza Jiji Kwa miaka 10,onyesheni maendeleo mliyofanya Sasa 😂😂
Karibu sana,2025 mbeya tunaenda na tulia.Kama hujui hata nchi inatakiwa iweje,kuna haja yangu kupoteza muda na tutusa?
Kubwa jinga,Ukiwa huna chama ndio unaropoka pumba?Nyumbu baba na mama yako
Sina chama ngedere wewe
Huna unalo lijua na komwe lako ilo kama tako
Kazi inaendelea vizuriBARABARA NJIA NNE YA MBEYA IMEFIKIA WAPI?!
Jinga babako alimwagia ndani yanayo fanyika mbeya ni madogo kulinganisha na vile inastaili,Kubwa jinga,Ukiwa huna chama ndio unaropoka pumba?
Mbeya Kuna miradi mikubwa najua hujui,Rudi kwenye mada niliyokupa utaona