Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,169
- 103,469
Sababu zipi?Ipo wazi kama Yanga wanaingia uwanjani bure geti wazi fungulia dogs!CCM hamna mbavu za kushinda uchaguzi hata wa aina gani hadi muombe assists za watumishi wajingawajinga,Polisi na vitisho vya "teeth" kwa watumikiao/watumishi.Mumeanza excuses mapema sana mbona? 😂😂