Hatukatai yeye kugombea ubunge , bali tunachokataa ni mbinu zake za kujifanya eti leo anafadhili ngoma za jadi , Huku akiwa na mchakato nyuma ya pazia .
Nakuheshimu lakini kwa ulichoandika sio busara kukiacha kipite hivihivi. SIO SAHIHI KABISA KWAMBA NGOMA ZA KINYAKYUSA - Mang'oma, mapenenga, magosi, mababatoni, syobhela, kituli, nk eti yana uhusiano na imani za ushirikina. BIG NO ndugu.Ngoma nyingi huko kwa wanyaki zimehusishwa na mambo ya uganga na mambo ya kishirikina. Kwa hiyo huyu msomi Acks amechagua kutegemea misukule? Nilipata kusikia ni mcha Mungu sana!
Utapeli wa kisiasa ni lazima upingwe na kila mtu .Utakuta mwenye mashaka yote haya ni Mwanaume yaani anatetemeshwa na Ke
Labda mungu wa lumumba....kwa matendo na tabia zke bungeni sio mcha mungu ni mcha shetwaniNgoma nyingi huko kwa wanyaki zimehusishwa na mambo ya uganga na mambo ya kishirikina. Kwa hiyo huyu msomi Acks amechagua kutegemea misukule? Nilipata kusikia ni mcha Mungu sana!
Wana Rungwe wamekusikia .Fanyeni makosa yote ,mnayoweza kufanya lkn sio hili la kumpa ubunge huyu dada.
Bado una la kusema ?mbunge wa Rungwe Sauli ametulia na anamsapoti Tulia,,,,,,wewe kibendera wa CHADEMA unatoka povu tu.....niko uwanjani Tandale hapa Tkuyu karibu Laxi Mi nikununulie supu
Wewe unaona mwambigija ndie anafaa.?Mie namwona hafai kabisa! wana rungwe msiwe kama wana Chemba au Mtera.
Mbona Mr Sugu aliingia kwa gia ya kuendeleza Hiphop Mbeya na hatukusikia yote hayo,na kuna wengine wamekuwa maarufu kwa kutukana viongozi,mwache Tulia atulie na amang'oma yake.Hata asipoleta hiyo mipalaano Tu;ia atakuwa mbunge tu .Mambo ya watu wa CCm waachie wenyewe kama vile mambo ya Chadema mlivyoachiwa wenyewe kikolo.
Mkuu chochote kilichoambatana na ccm ni laana , angalia Mwigulu badala ya kufanya kazi za waziri wa mambo ya ndani anafanya kazi za katibu mwenezi wa ccm !Wewe unaona mwambigija ndie anafaa.?
AminaMungu mbariki Erythrocyte
Kinachoambatana na chadema ndio laana kubwa kabisaMkuu chochote kilichoambatana na ccm ni laana , angalia Mwigulu badala ya kufanya kazi za waziri wa mambo ya ndani anafanya kazi za katibu mwenezi wa ccm !
Wewe mbona hugombei ? Kazi ya kuwachambulia wenzio huyu hafai , huyu hivi , ingia kwenye kinyang'anyiro , tukuone ukidume wako.Baada ya kumkimbiza huku ameanza kunyemelea jimbo la Mbeya Mjini , Nampa ushauri wa bure , Mbeya Mjini tayari alishachaguliwa Mbunge wa Milele aitwaye Joseph Mbilinyi .