Dr SLAA: Wana TABORA mtuunge mkono

Usiwadharau mkuu, hii mbona ni kawaida sana kwa upande wa saikolojia? Ukimnyanyasa mtu kwa muda mrefu anaona ni sawa tu/inakua mazoea. Kwa Wana-Igunga waliolia inawezekana wanaona ni sawa kutawaliwa na kunyang'anywa rasilimali zao na Rostam) na wamepoteza identity yao kabisa wanaogopa change. Chukulia mwanamke au mwanaume aliyekuwa abused muda mrefu; unaweza ukampeleka mpaka kituo cha polisi lakini akakataa kufungua kesi, leave alone kuwa witness. Hawa watu for more than 15yrs wameshaharibiwa "psychologically" wanaona bila CCM hawawezi kuishi. Tunahitaji watu wakuwaambia na kuwaonyesha change is necessary and is possible; it is desperately needed now in places like Igunga. Igunga deserve a better leader/MP.Wakiona kwa vitendo mind zao zitafunguka taratibu.

La msingi hapa nikuwaambia wanaigunga Rostam Aziz kaonewa. Ufisadi anaotuhumiwa ulimhusisha hata JK,familia yake,viongozi karibu woote wa CCM. Sasa ni kwa nini Rostam Aziz afanywe mbuzi wa kafara. NEC yao inawatuhumu watu watatu tu. Mbona inawaacha vigogo wote walionufaika na EPA. Je na wakurugenzi wa Halimashauri ambao wamefisidi fedha kwenye miradi yote ya maendeleo hao sio mafisadi? Fisadi ndani ya CCM ni hao watatu tu?
 
Wale wazee niliowaona jana si wa kupigia kura CDM, ningependa kujua roughly vijana ni asilimia ngapi ya wapiga kura,
 
kwanza tunatakiwa kujua kuwa last election ra alisimama na nani na kujua perfomance ya chadema katika hilo jimbo last election
 
Wala asijulikane kwa sasa kama niwa Cdm mana hawa Magamba hawatabiriki hata chembe moja wasijemuhujumu huyo mtu,maana hawa ni wazee wa fitna
 
Nafuatilia na kwa mtindo ule ule, mpaka itakapotangazwa kuwa jimbo la igunga liko wazi, tutakuwa na picha ni mtu gani anatakiwa pale kuwa mbunge mpya.
 
Rost-ham ni mzawa wa Tabora eeeee,ni mnyamwezi????????
Mimi ni mnyamwezi na nafahamu mazingira na khulka za wanyamwezi, juu ya alichofanya Rostam...CCM ISAHAU JUU YA USHINDI WA HAKI KATIKA MKOA WA TBR ktk chaguzi yoyote ijayo. Ni doa na pigo kubwa sana kwao CCM TBR, waila kwa wasioufahamu vema mkoa ule...wanaweza kudai kwamba CCM inaweza kuwa hai kwa miaka 10 ijayo.Dr Slaa mnapaswa mmuweke mtu ambaye ni kweli anatoka TBR, asipandikizwe mtu kinadharia kuwa ni mzawa wa TBR...wale hawachelewi kumsusa. Pelekeni mtu asilia ya mkoa ule na walau anajua lugha ya kinyamwezi na shupavu, MTASHINDA.
 
Mkuu unaelewa unachokisema? Kuna Wanyamwezi wa Dakama (Tabora) na Wanyamwezi wa Sukuma (Shinyanga na Mwanza). Sasa sijui kama ulielewa ulichokua unaandika.

Jina lako sawa linaonesha na wewe ni Msukuma (sitaki kukuita Mnyamwezi wa Sukuma kama unavyotaka kunilazimisha niamini). Kwa taarifa yako haya ni makabila mawili tofauti ingawa wanasikilizana, labda kama umesoma yale masomo yetu ya kuimba mashairi utusaidie historia fupi ya haya makabila mawili (unayotaka kutuambia kuwa ni kabila moja). Tunachokifahamu watu tunaotoka Mwanza ni kwamba Sukuma ni Kaskazini na Dakama ni Kusini, hivyo ningekuelewa kama ungesema kuna Msukuma wa Sukuma na Msukuma wa Dakama (Kwa maana ya Mnyamwezi).

Hivyo niliposema kuna Wasukuma na Wanyamwezi nilitaka kuweka msisitizo kwamba hayo ni makabila mawili tofauti. Nenda hata sasa hivi huko Tabora, Mwanza na Shinyanga utasikia hivyo hivyo wala hakuna kitu kinaitwa Mnyamwezi wa Dakama au Mnyamwezi wa Sukuma (Shinyanga na Mwanza kama ulivyosema). Pole sana kama umekaririshwa!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kwa hiyo Igunga hawapendi ukweli bali wanapenda kuongopewa?! Jipange upya mkuu una mapungufu ya kimantiki kwenye hoja zako.
 
Go Dr. Every single penny counts! ( i don't really mean about money) wakti ndio huu na jimbo hili letu! Change will come from us NOT them! what a prospect!
 
Wanyamwezi sasa mseme basi. Enough is enough hakuna kumlilia fisadi ambae katufikisha paaaya san
 
That is a grandiose dream and CHADEMA should stop deluding themselves that they stand a chance of grabbing Igunga constituency. If at all they need to extend their popularity, they are obliged to expunge any sort of tribalism and religious inclination. CHADEMA's image has been badly spoiled by their tendentious attitude of embracing CHAGGA, making it appearing like a tribal clique.
 
hivi wana wa tabora esp igunga wanafikiri bila rostam hawataweza kupumua, au walikua wanalilia kofia, kanga na tshirt alizokua anawapa plus hizo buk 10. they need to be serious hawaoni hizi kashfa zilizomuandama. cdm please fill that vacant seat from chief wa mafisadi
 
Jina lako sawa linaonesha na wewe ni Msukuma (sitaki kukuita Mnyamwezi wa Sukuma kama unavyotaka kunilazimisha niamini). Kwa taarifa yako haya ni makabila mawili tofauti ingawa wanasikilizana, labda kama umesoma yale masomo yetu ya kuimba mashairi utusaidie historia fupi ya haya makabila mawili (unayotaka kutuambia kuwa ni kabila moja). Tunachokifahamu watu tunaotoka Mwanza ni kwamba Sukuma ni Kaskazini na Dakama ni Kusini, hivyo ningekuelewa kama ungesema kuna Msukuma wa Sukuma na Msukuma wa Dakama (Kwa maana ya Mnyamwezi).

Hivyo niliposema kuna Wasukuma na Wanyamwezi nilitaka kuweka msisitizo kwamba hayo ni makabila mawili tofauti. Nenda hata sasa hivi huko Tabora, Mwanza na Shinyanga utasikia hivyo hivyo wala hakuna kitu kinaitwa Mnyamwezi wa Dakama au Mnyamwezi wa Sukuma (Shinyanga na Mwanza kama ulivyosema). Pole sana kama umekaririshwa!!

Well said! Lakini kua makini na historia zilizoandikwa na watu wasio wahusika wa kabila tajwa. Ni sawa sawa na historia potofu juu ya ukoloni iliyoandikwa na wakoloni.

Hapo penye nyekundu huoni kama umejichanganya na kukubali nilichosema?! Mimi natokea Kwimba, ninachokiongea ninakielewa na nina uhakika nacho. Ebu jaribu kutafuta wazee hapo wa Sukuma Land waweze kukupa undani wa historia hii.
 
Back
Top Bottom