asimamishwe pro SAFARI nahakika ilo jimbo litakuja upinzani
kwani Safari ni mtu wa huko?.......ingependeza zaidi kama mgombea akawa ni mwana Igunga, itasaidia sana kusukuma mashambulizi ya kampeni
asimamishwe pro SAFARI nahakika ilo jimbo litakuja upinzani
Mbona muiran aliweza kuwa mbunge kwa miaka kibao? Sema waweke mislamu kwa vile TBR inawaislamu kibao!
Wapinzani wanatakiwa wakae waelewane then waweke mgombea mmoja wa kupambana CCM, lakini kila chama kikiweka mgombea wake ujue jimbo linarudi kwa Magamba
Wala asijulikane kwa sasa kama niwa Cdm mana hawa Magamba hawatabiriki hata chembe moja wasijemuhujumu huyo mtu,maana hawa ni wazee wa fitna
magamba yatachelewesha huo uchaguzi yakisoma upepo na kama yakijiridhisha jimbo watalikosa,yataitisha uchaguzi mwezi september 2015
Waswahili walipima, wakadadisi, wakachunguza na kutafiti na baadaye wakaja na usemi ambao hapa tunaweza kuutohoa: "Fisadi akufaae si mpiganaji asiyekufaa" au "Fisadi mbaya kiatu chake dawa". Mwanangu ungefika Igunga na kuona hali zao halisi za kimaisha zilivyo, kuondokewa na mtu anayewapa maslahi (hata vikiwa ya wizi) ni msiba mkubwa. Huoni hata mkulu wa ikulu anamlilia. Acha walie! Wamekuwa kama kuku wa kisasa, hawajui wakiachiwa watajitafutia vipi ulaji. Mazoea mabaya. Wako mashakani! Kwa taarifa yako, wakati wa kampeni hata kwenye nyumba za ibada Wanyamwezi hawa walikuwa wanaambiwa na wahubiri wao kuwa atakayemnyima kura lazima ataenda jehanamu. Kwa uelewa finyu ulioko kule, athari ya mahubiri kama hayo, usipime!tena wanamlilia mtu aliyetufilisi! Wametia aibu kwa kweli.