Dr SLAA: Wana TABORA mtuunge mkono

Hakika inawezekana ikawa! Mageuzi ni sasa na kama si sasa ni sasa hivi. Mapambano yanaendelea. CDM, Twanga kotekoteeeeeeeeeee!!
 
Katika wall page yake ya facebook Dr Slaa kaandika.
Tunaweza kuiweka Igunga kuwa ngome ya Chadema. Wana Tabora watuunge mkono katika mageuzi ya kweli.

ili ni muhimu likaingia kwenye mkakati mapema, hilo jimbo liko rehani kwa sasa,
 
Ni matumaini yangu kwamba Chadema itachukua jimbo la Igunga na kuwa mlango wetu wa kuingia Tabora kabla ya 2015
 
Mimi ni mnyamwezi na nafahamu mazingira na khulka za wanyamwezi, juu ya alichofanya Rostam...CCM ISAHAU JUU YA USHINDI WA HAKI KATIKA MKOA WA TBR ktk chaguzi yoyote ijayo. Ni doa na pigo kubwa sana kwao CCM TBR, waila kwa wasioufahamu vema mkoa ule...wanaweza kudai kwamba CCM inaweza kuwa hai kwa miaka 10 ijayo.
Dr Slaa mnapaswa mmuweke mtu ambaye ni kweli anatoka TBR, asipandikizwe mtu kinadharia kuwa ni mzawa wa TBR...wale hawachelewi kumsusa. Pelekeni mtu asilia ya mkoa ule na walau anajua lugha ya kinyamwezi na shupavu, MTASHINDA.
 
Ni kweli Dr Slaa kaliona hili ni muhimu kwa wapenda haki na maslahi ya umma, sasa kazi kwetu WanaTabora bila kujali itikadi zetu za vyama kwani Rostam kashatuambia CCM hakufahi!
 
Yaani mkija ugunga hata mimi ccm nitawapigia kura lakini sitahama chama kwani haya yote ni nguvu na jasho lenu kuwafichua mafisadi

Mkuu,
Umenifurahisha hapo kwenye red, umeniduwaza waila ndio msimamo wako ulivyo!
 
CDM kama arusha, mwanza, mbeya majaji haya ni ngome kuu ya CDM, Igunga wanahitaji mabadiliko pipoz paawwaaiah operation sangara ihamie huko
 
Wapinzani wanatakiwa wakae waelewane then waweke mgombea mmoja wa kupambana CCM, lakini kila chama kikiweka mgombea wake ujue jimbo linarudi kwa Magamba
 
Mimi ni mnyamwezi na nafahamu mazingira na khulka za wanyamwezi, juu ya alichofanya Rostam...CCM ISAHAU JUU YA USHINDI WA HAKI KATIKA MKOA WA TBR ktk chaguzi yoyote ijayo. Ni doa na pigo kubwa sana kwao CCM TBR, waila kwa wasioufahamu vema mkoa ule...wanaweza kudai kwamba CCM inaweza kuwa hai kwa miaka 10 ijayo.
Dr Slaa mnapaswa mmuweke mtu ambaye ni kweli anatoka TBR, asipandikizwe mtu kinadharia kuwa ni mzawa wa TBR...wale hawachelewi kumsusa. Pelekeni mtu asilia ya mkoa ule na walau anajua lugha ya kinyamwezi na shupavu, MTASHINDA.

Mbona muiran aliweza kuwa mbunge kwa miaka kibao? Sema waweke mislamu kwa vile TBR inawaislamu kibao!
 
Yes we can. It can be done. Hata CCM wanajua kuwa it'll be done with the same efforts ya nguvu ya umma. It gonna be another Tarime, another...and another...Cpati picha jinsi itakavyokuwa kuwa hapo mstari wa mbele miezI kadhaa ijayo. Igunga now will be in Tanzania Political Forum/Map. Gooooooo for change
 
Mimi ni mnyamwezi na nafahamu mazingira na khulka za wanyamwezi, juu ya alichofanya Rostam...CCM ISAHAU JUU YA USHINDI WA HAKI KATIKA MKOA WA TBR ktk chaguzi yoyote ijayo. Ni doa na pigo kubwa sana kwao CCM TBR, waila kwa wasioufahamu vema mkoa ule...wanaweza kudai kwamba CCM inaweza kuwa hai kwa miaka 10 ijayo.Dr Slaa mnapaswa mmuweke mtu ambaye ni kweli anatoka TBR, asipandikizwe mtu kinadharia kuwa ni mzawa wa TBR...wale hawachelewi kumsusa. Pelekeni mtu asilia ya mkoa ule na walau anajua lugha ya kinyamwezi na shupavu, MTASHINDA.
Wanyamwezi wanatia AIBU sana wana mlilia FISADI!
 
Back
Top Bottom