Invisible daftari la wapiga kura linatunyima haki watumiaji simu, umeme Lowasa kakata na PC haina chaji, wezesha upande wa simu pia, please C6 nawe tia mkono wako hapo
dr slaa
1 si mwizi
2 chama chake kinaingia na watu wapya anaweza kuwadhibiti na morali mpya
3 si fisadi
4 hawazi biashara
5 hajahonga mtu
huyu mwingine ananuka rushwa
KURA KWA DR SLAAAAA
Nivizuri kumuona Doctor kabla ujameza dawa, na Taifa langu linasumbuliwa na matati mengi , mara ufisadi, ujangili, mizigo,magamba. Kwa ujumla ni vigumu kumpatia dawa huyu mgonjwa Tanzania bila kupata vipimo na ushauri fasaa toka kwa Doctor.