Dr Slaa vipi siku tatu hazijaisha

TETEA WATU

New Member
May 22, 2011
4
1
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina, na ripoti za ujanja ujanja za kina Kigaila na Mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami.

Nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka
 
mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina ,na ripoti za ujanja ujanja za kina kigaila na mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka

acha matusi mkuu, hata kama unamchukia siyo hivyo, tambua kuwa unajidhalilisha mwenyewe kwa kukosa busara.
soma thread zinazohusu hilo unaloulizia utaelewa kinachoendelea.
 
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina, na ripoti za ujanja ujanja za kina Kigaila na Mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami.

Nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka

Pumbavu kabisa!
 
mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina ,na ripoti za ujanja ujanja za kina kigaila na mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka

Vipi best mbona umeamka na hasira sana na Dr W.P Slaa?
inaelekea amekuumiza sana usiku mpaka umeamka una hasira naye.
Ili ujue kuwa CDM inaongozwa ki-taasisi hapa ndo utajua kuwa hata Dr Slaa anapaswa kufuata misingi ya
kuongoza ki-taasisi kwa kufuata kanuni na sheria ambazo imejiwekea,na si kukurupuka kama unavyodhani watafanya.
Maamuzi ambayo yatatoka ndiyo maamuzi yatakayo kiimarisha chama kama taasisi na sio kampuni ya mtu hapa.
Kwa hiyo dogo uwe na kiasi,na wakati mwingine ujue jinsi ya kutoa maneno yenye kukidhi haja ya kujibiwa hoja yako na si kukurupuka na kutoa matusi ya nguoni hapa jf kwenye great thinkers,ukitukanwa unaanza kulalamika.kuna watu wana matusi mpaka unakonda.
 
Magamba mbona Lowassa mmemshidwa? mnaanzisha vita wakati nyumba yenu ya vioo -- mwageni mbona muone shughuli yake.
 
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina, na ripoti za ujanja ujanja za kina Kigaila na Mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami.

Nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka

Hahaha ya kwamba serikali sio mvua siyo, tatizo la umeme ni la ukame? eh??????
 
Ndugu siku tatu kama zimekwisha sasa subiri uamuzi sahihi wa chama, kuwa mvumilivu, kama umeweza kuvumilia siku 90, zikaisha na sasa unavumilia mpaka milele unashindwa kuvumilia hili la Chadema!?, ila jaribu kuhusisha ubongo wakati mwingne mkuu Dr Slaa anastahili Heshima hata kama aliguza maslahi yako haramu vumilia ndio mambo yanavyokwenda.

Na bado mtaucheza Muziki wa Dr mpaka mtie akili.
 
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina, na ripoti za ujanja ujanja za kina Kigaila na Mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami.Nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka
Umemnukuu vibaya alisema miezi mitatu!
 
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina, na ripoti za ujanja ujanja za kina Kigaila na Mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami.

Nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka

Mtoa mada mbona unakurupuka sana? Mbona unauliza maswali na kuyajibu we mwenyewe? Unauliza au unatoa majibu yako ya kufikirika?
 
Join Date : 22nd May 2011
Posts : 3
Rep Power : 0

Poleni wachangiaji wengi kuchangia mada ya Zuzu. Hizo ndizo taarifa zake. Thread anaandika hadi ipitishwe na Chama lao
 
Duh, mbona watu wa JF mmekuwa wakali sana siku hizi? Au ndiyo uhuru wa kuongea umewakolea?
 
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina, na ripoti za ujanja ujanja za kina Kigaila na Mrema wanalinda matumbo yao na sio uhalisia wabunge wako wanajihami.

Nawe bila kufanya utafiti unakurupuka vipi sasa mbona kimya au mkakati ulivyoambiwa uwe unasikika kwenye vyombo vya habari kila mara sio kuropoka hovyo bila utafiti wowote ni kujidhalilisha sana,wabunge wako wanajiona wao wako sahihi kila mara zunguka sehemu nyingi siyo kudanganywa na ripoti za kinafiki na majungu ya kina benson wagombea shindwa wamechoka hawana lolote mnatengeneza mazingira ya vijana wengi kurudi ccm na vyama vingine jitathimini sana kiongozi wangu siyo kukurupuka

Kwa akili hii hata baba yako you do call him names .Hii si tabia ya Watanzania sisi kuwakosea heshima watu wenye heshima zao .Kilaza mkubwa wacha niishie hapa .
 
Back
Top Bottom