Mbowe tapeli tumemchoka
Slaa ni wa kupuuzwa kesha tuonyesha uhalisia wake.
Ingine hiyo hapo mwambie Mbowe atoe maelezo
![]()
kipengere gani kimevunjwa?
Anakula mihogo..
Kwa jicho la kawaida tu wala sio la ziada, body language ya Dr. Slaa haipo na Mwigulu wala Prof. hivyo ni kipande cha kupachikwa, photoshop!
ile sheria itakapochukua mkondo wake msilalamikie serikali ya CCM.
Twende na Dr. Magufuli ikulu.
Mbowe ni mungu kwa wanachaggadema hakosei yeye
Ingine hiyo hapo mwambie Mbowe atoe maelezo
![]()
We ni lofa sana,sasa hapo yupo na familia yake?yeye kasema yeye na familia yake walikua wanakula mihogo.Sasa Mwigulu na Lipumba ni familia ya Dr.W.Slaa ? mbona mnajitoa hufahamu enyi nyumbu wa serengeti?
![]()
Slaa akila mihogo na wala mihogo wenzake