kipengere gani kimevunjwa?Sheria ya mtandao njoo huku haraka. Kuna watu wanakuchezea sharubu
Khaa!! Tena hata mtengenezaji hajui kazi yake. Ajiandae na segereaPhoto shop
Waswahili wanasema, wekeni akiba ya maneno.
Press conference, ya Mh. Mbowe na Lowassa kesho saa 5 bahari beach hotel.
Kweli mihogo anaipendaAnakula mihogo..
Press conference, ya Mh. Mbowe na Lowassa kesho saa 5 bahari beach hotel.
na serena pale alikula mihogo ? je mihogo ya serena ni sh ngapi?