Photo shop
Sishangai, maana kwenye siasa hakuna adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu. Kwani ulitegemea siku moja Lowassa angewakilisha upinzani na kutoa salamu ya "Peopleeeeeeeee's"?...Kuna Wakati Mwigulu aliwahi sema "anamchukia Dr Slaa zaidi ya shetani" Sasa ni kitu gani kimewakutanisha ??!!
Waswahili wanasema, wekeni akiba ya maneno.
![]()
Slaa ni mwana Falsafa ndugu.
Anaposema nakula mihogo hana maana ya mihogo moja kwa moja.
Jaribuni kujifikirisha enyi kizazi cha leo.