Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

Status
Not open for further replies.
Waswahili wanasema, wekeni akiba ya maneno.

Kwa jicho la kawaida tu wala sio la ziada, body language ya Dr. Slaa haipo na Mwigulu wala Prof. hivyo ni kipande cha kupachikwa, photoshop!
 
Kitaeleweka tuu.. Ukimwaga mboga wengine wanamwaga ugali
 
Waswahili wanasema, wekeni akiba ya maneno.
Ingine hiyo mwambie mbowe atoe maelezo

images
 
Sheria ya mtandao njoo huku haraka. Kuna watu wanakuchezea sharubu
 
Traitor katika ubora wake, anakula bata la ukweli
 
Haa Viongozi Hawa Wamejiabisha Sana Hapo Walikuwa Kwenye Mpango Wa Kupewa Rumbesa Sandarusi
Haha Tumeshawapuuza Muda
 
Kama mihogo yenyewe ndio hii hata mimi nasema sijawah kuila mihogo ya namna hii.
 
Duu Mihogo hiyo na mwenzake Lipumba..,Kweli huyu Padre kiboko muongo sana,unakula mihogo,hiyo pesa ya kulipia TV si chini ya milion 200 umeitoa wapi..?Sasa kwa taarifa tuu ,Wananchi tumeamua tunampigia huyo huyo mwizi ,fisadi.
 
He's a failed priest, now a failed politician. 100% failure so quick i can not imaging:bathbaby::bathbaby::bathbaby:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom