Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

Status
Not open for further replies.
Mkuu kula mihogo inawezekana ni lugha ya picha inayoakisi ualisia wa maisha ya mtanzania wa kawaida, Hata sisi wenye maisha ya kawaida huwa kuna kipindi tunakula vizuri, so hiyo picha isiwe ndio mwisho wako wa ku conclude kama Dr. Slaa amedananya umma
 
Slaa ni mwana Falsafa ndugu.
Anaposema nakula mihogo hana maana ya mihogo moja kwa moja.
Jaribuni kujifikirisha enyi kizazi cha leo.
 
We ni lofa sana,sasa hapo yupo na familia yake?yeye kasema yeye na familia yake walikua wanakula mihogo.Sasa Mwigulu na Lipumba ni familia ya Dr.W.Slaa ? mbona mnajitoa hufahamu enyi nyumbu wa serengeti?

Wewe ndiyo lofa wa kifikra x 20 !
Kwa hiyo Baba utaishia kula bata hoteli , watoto wanakula mihogo? Wewe una ukaribu gani na Dr kiasi ukatuhakikishia kua halagi hoteli kila siku ?
Au wewe ni Josephine ?
 
Last edited by a moderator:
Leo Jumatano Februari 4, 2015, rais huyo wa Ujerumani alikutana na viongozi wa vyama vya siasa, na asasi za kiraia na kufanya nao mazungumzo wakati wa chai aliyowaandalia viongozi hao kwenye hoteli hoteli ya Hyatt, Regency Hotel. Kisha alielekea bandarini na kupanda boti kuelekea Zanzibar. Anatarjiwa pia kitembelea mbuga za wanyama huko Arusha kabla ya kurejea nyumbani

Gauck, akisalimiana na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar, CUF, Profesa Ibrahim Haruna Lipumba

Rais Gauck, akisalimiana na katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani Tanzania bara, CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa


Chanzo: khalfansaid
 
attachment.php

Tuache ushabiki, hata kama hatumpendi Dk. Slaa, au katukwaza lakini ukweli lazima tuuseme. Sioni tatizo la hii picha, ila nashangaa, huyu mzee siku zote anakuwa na suti, shati na tai ile ile! Hapa vipi!?...

slaa3.jpg

slaa.jpg

slaa 2.jpg
 
Tuache ushabiki, hata kama hatumpendi Dk. Slaa, au katukwaza lakini ukweli lazima tuuseme. Kwa kuangalia tu, utagundua hii picha ni ya Prof. Lipumba na Mwigulu Nchemba. Dk. Slaa amepachikwa katikati yao, na ninadhani hiyo picha yake ina uhusiano mkubwa na picha hizi hapa chini, kwani zimepigwa kutoka kamera moja na angle zinazoshabihiana. Hata mavazi ni yale yale, labda kama mniambie alipotoka hapa alielekea kwenye sherehe...

View attachment 282938

View attachment 282939

ni hizo sahani wamepachika? angalia hapo mezi kila kitu kipo katika utatu, viti tatu, sahani 3, glass za jusi 3, umma na vijiko vitatu viatu . hivyo navyo vimetengenezwa?
 
Tuache ushabiki, hata kama hatumpendi Dk. Slaa, au katukwaza lakini ukweli lazima tuuseme. Kwa kuangalia tu, utagundua hii picha ni ya Prof. Lipumba na Mwigulu Nchemba. Dk. Slaa amepachikwa katikati yao, na ninadhani hiyo picha yake ina uhusiano mkubwa na picha hizi hapa chini, kwani zimepigwa kutoka kamera moja na angle zinazoshabihiana. Hata mavazi ni yale yale, labda kama mniambie alipotoka hapa alielekea kwenye sherehe...

View attachment 282938

View attachment 282939
Bishop Hiluka,

Hii nayo utasema amepachikwa? Mazungumzo yalifanywa kweli. Ingawa sitaki kuweka wazi juu ya ajenda zilizo zungumzwa.

Tazama hii picha. FB_IMG_1441188186757.jpg
 
Last edited by a moderator:
Tuache ushabiki, hata kama hatumpendi Dk. Slaa, au katukwaza lakini ukweli lazima tuuseme. Kwa kuangalia tu, utagundua hii picha ni ya Prof. Lipumba na Mwigulu Nchemba. Dk. Slaa amepachikwa katikati yao, na ninadhani hiyo picha yake ina uhusiano mkubwa na picha hizi hapa chini, kwani zinaonekana zimepigwa kutoka kwenye kamera moja na angle zinazoshabihiana. Hata mavazi ni yaleyale... Napata tabu kuamini...

View attachment 282938

View attachment 282939

Your not an IT mzee huwezi jua kitu hiyo picha siyo ya kuunga hata yeye picha zilizovuja za Lowassa alisema Ni kweli zile za kipindi kileee!
 
ni hizo sahani wamepachika? angalia hapo mezi kila kitu kipo katika utatu, viti tatu, sahani 3, glass za jusi 3, umma na vijiko vitatu viatu . hivyo navyo vimetengenezwa?
Nimekupata na nimerekebisha maelezo yangu hapo juu, ila kinachinishangaza, nimekuta picha nyingi alizopiga sehemu mbalimbali zote akiwa kavalia suti, shati na tai ileile!... Kati ya hizo moja alipokuwa Marekani...
 
Kuna Wakati Mwigulu aliwahi sema "anamchukia Dr Slaa zaidi ya shetani" Sasa ni kitu gani kimewakutanisha!! Jana alisema yeye anaiona siasa kama Sayansi,,Naanza kupata picha kwamba kama kwake siasa sio mchezo mchafu basi itakuwa Sayansi kimu.!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom