Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

Status
Not open for further replies.
Your not an IT mzee huwezi jua kitu hiyo picha siyo ya kuunga hata yeye picha zilizovuja za Lowassa alisema Ni kweli zile za kipindi kileee!

Hapo kwenye RED ni bora ungeandika Kiswahili tu, badala ya kuharibu lugha ya wenyewe! Hata hivyo, baada ya kuona picha zingine nakubaliana na picha ingawa bado siwezi kuhusisha na kauli zake za jana...
 
Waswahili wanasema, wekeni akiba ya maneno.

Picha hiyo inaonyesha anapokea pesa au amekaa na wanasiasa wenzake? na Kosa lake ni lipi mbowe ana picha ngapi na Rais Kikwete na siyo issue? acha ubabaishaji hiyo picha haina uhusiano na heading yako toka hapa subiri Magufuli akiapishwa ndiyo ujue ufisadi siyo deal maana hapa utaleta picha ya Dr. Slaa akiwa kanisani sijui ina uhusiano gani na siasa au maneno aliyosema jana?
 
Picha hiyo inaonyesha anapokea pesa au amekaa na wanasiasa wenzake? na Kosa lake ni lipi mbowe ana picha ngapi na Rais Kikwete na siyo issue? acha ubabaishaji hiyo picha haina uhusiano na heading yako toka hapa subiri Magufuli akiapishwa ndiyo ujue ufisadi siyo deal maana hapa utaleta picha ya Dr. Slaa akiwa kanisani sijui ina uhusiano gani na siasa au maneno aliyosema jana?

Inategemeana hiyo picha ni ya lini, kama ni zamani sana hakuna shida Mkuu, lakini kama ni ya hivi karibuni au ni ya jana, acha kujitoa ufahamu kana kwamba hukwenda shule hata darasa la nne hukufika.
 
Ingine hiyo hapo mwambie Mbowe atoe maelezo

images
ha ha ha ha ha humu ndani kuna watu wanafurahisha...dah.
 
Nimekupata na nimerekebisha maelezo yangu hapo juu, ila kinachinishangaza, nimekuta picha nyingi alizopiga sehemu mbalimbali zote akiwa kavalia suti, shati na tai ileile!... Kati ya hizo moja alipokuwa Marekani...

Kuna Wakati Mwigulu aliwahi sema "anamchukia Dr Slaa zaidi ya shetani" Sasa ni kitu gani kimewakutanisha ??!!
 
Sasa mkuu ona picha hii na ya dk slaa tofauti yake.mkuu vipi hujala nini
 
Wewe dogo wacha kucheza na maisha,wacha dr slaa aumbuke na ataumbuka sana maana kayataka mwenyewe ni afadhali ange amua kukaa kimya na tutaendelea kumuumbua na jamii ya watanzania itamuelewa

wewe jamaa yani sio nyuma uko beyond ..Pole sana kwani wazee wako wamepoteza mikojo yao bureee
 
Press conference, ya Mh. Mbowe na Lowassa kesho saa 5 bahari beach hotel.

Hii ni kweli???Wapige kampaign bwana waache babu akapumzike...mabadiliko kwanza mabadiliko baadae...Sasa baada ya kustaafu siasa nyumba na gar la CDM anarudisha au?
 
Kuna Wakati Mwigulu aliwahi sema "anamchukia Dr Slaa zaidi ya shetani" Sasa ni kitu gani kimewakutanisha!! Jana alisema yeye anaiona siasa kama Sayansi,,Naanza kupata picha kwamba kama kwake siasa sio mchezo mchafu basi itakuwa Sayansi kimu.!

bado ni yaleyale hata lema alishasema kauli kama hizo kwa lowasa leo wako wote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom