Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

Status
Not open for further replies.
Shilingi 50 ya kitanzania.
Serena wana mihogo ya bei ya chini sana tanzania, nashangaa watu mnakula mihogo ya mtaani kipande shilingi 200 wakati serena ni shilingi 50.

Matangazo yote jana yameghaeimu shilingi 2000 ya kitanzania, slaa ni masikini na ana uchungu na hii nchi toka moyoni.

Suti ya jana inaghaeimu 1500 pale kaeume, slaa anamaanisha anachokisema.
ha ha ha nicheke
 
Kamanda wa Anga....tumekwisha badilisha gia angani na ndege haitoi lift ikiwa juu,mwendo mdundo mpaka tutakapo tua hiyo 25 octoba.Wapigaji kura wote ni above 18 yrs tunaelewa nini pumba na mchele,hakuna haja ya kumjibu Mh Slaa.
 
Waswahili wanasema, wekeni akiba ya maneno.

Dr slaa kayachokoza mwenyewe na sasa ajiandae kuueleza umma ni kwanini aliamua kuusaliti kwa kipande cha sh
 
For Dr. Slaa, life will never be the same after yesterday's press conference! He lost whatever he built in his political life.

He's a failed priest, now a failed politician.

Very true as his life will be much better than those traitors who sold the 23 years of the people's efforts and blood to the Father of all corruption. His conscious is clean and will never feel guilty. Namsikitikia huyu Tundu Lissu aliye kuwa kama recharge ya tigo
 
yani nilimdharau sana aliposema kuwa yeye na mke wake wanashindia mihogo hivi watu dhiki na ufukara wanaona sifa ni aibu sana kiongozi kujisifu kwa dhiki mtu kama dr slaa si wakulipiwa nyumba na chama alipaswa aishi kwake kwa muda wote alioshi dar pato lake halali la nafasi ya ubunge lilimtosha kuwa na makazi Dar na huko kwao karatu aibu sana kiongozi kudhani umaskini ni sifa ambayo kiongozi bora anapaswa awe nayo

sasa kama yeye kiongozi mkubwa hivyo anashindia mihogo na maharage je anao waongoza wale nini sasa
 
Amekwambia amefuatwa na watu wa vyama zaidi ya vyama 5. Sasa unataka maelezo gani?
Kwa hiyo kwa akili yako alifatwa na Mwigulu ili akagombee CCM?
Kamwone daktari hauko saws we we!
 
Ingine hiyo hapo mwambie Mbowe atoe maelezo

images

Wewe dogo wacha kucheza na maisha,wacha dr slaa aumbuke na ataumbuka sana maana kayataka mwenyewe ni afadhali ange amua kukaa kimya na tutaendelea kumuumbua na jamii ya watanzania itamuelewa
 
Muacheni apumzike Dr Slaa.Watanzania haturudi tena Misri tunamshukuru kwa kutupa nuru ya mabadiliko na sasa tunaimarika zaidi kuiondoa ccm.Leo Lowassa na timu yake wako Tunduru, Namtumbo na jioni mkutano mkubwa Sumbawanga mjini, Mgombea mwenza atakuwa Mtama mchana huu na jioini atakuwa Lindi mjini
 
For Dr. Slaa, life will never be the same after yesterday's press conference! He lost whatever he built in his political life.

He's a failed priest, now a failed politician.

Totally lost!! He has cruelly destroyed himself unfortunately without a healthy arguable reason. He has hurt us who on ages admired him. Pity!
 
Pale ambapo malaika anakataa kujenga ushirikiano na "shetani" wakati huohuo anakunywa "chai" na "jini muovu"

na wana wa mungu wakakusana kufanya mkutano na mungu,na shetani nae alikuwepo,mungu akamuuliza,"unatoka wapi shetani?".

shetani akamjibu,"nimetoka kuzurulazurula huko duniani".
mungu akamwuliza,"umemuonaje mtumishi wangu ayub,vipi tumjaribu kama anaweza kukufuata na kunikana".

shetani akajibu,"poa,ila mimi nakuhakikisha ayubu lazima aje kambi yangu,kama vipi tupinge....."
 
mmeshaanza kuweweseka ninyi mazwazwa na mavuvuzela... jitazameni, jirekebisheni .. heko kwako mkuu @Dk Slaa UKIWA inazidi kufa tu
 
yani nilimdharau sana aliposema kuwa yeye na mke wake wanashindia mihogo hivi watu dhiki na ufukara wanaona sifa ni aibu sana kiongozi kujisifu kwa dhiki mtu kama dr slaa si wakulipiwa nyumba na chama alipaswa aishi kwake kwa muda wote alioshi dar pato lake halali la nafasi ya ubunge lilimtosha kuwa na makazi Dar na huko kwao karatu aibu sana kiongozi kudhani umaskini ni sifa ambayo kiongozi bora anapaswa awe nayo

sasa kama yeye kiongozi mkubwa hivyo anashindia mihogo na maharage je anao waongoza wale nini sasa

Ni wa kumpuuza tu, ye anadhani umaskini ni sifa, jana kachemsha sana, hatudanganyiki na haturudi nyuma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom