Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
Dr. Slaa ni FISADI MZINIFU...
Kapora mke wa mtu, na kamtelekeza mke wake Rose kamili, na watoto alio zaa nao...Dr. Slaa hafai, mchafu na hafai kuwa kiongozi sbb familia yake kaitelekeza, na Rose kamili hadi leo analaani, haamini babu wa makamo ya Slaa, kuacha familia ikiteseka, ana roho mbaya sana hiki kibabu...Upadre ulimshinda sbb ya hii tabia chafuu...!!!
CCM hawezi itoa madarakani, anaota nn, au wakati anaongea alikuwa na mzinifu mwenzake J...
Slaa sio kiongozi, hata kanisa lilimfukuza, hafai... kanisa la RC ndio mahala maadili ya ukweli yaliko...kama kanisa lilimshindwa, nani atamweza..!!? atuondolee usiku hapa...!!!
Mwezi mchanga naona umeanza, umepanik mpaka unatoa mapovu, mind you, sipendi mtu anaetoa mapovu mdomoni. Shit! Sasa lumumba mwaka huu mtapasuana vichwa kwa viti, lowassa ameshaweka wazi hatoki, anaetaka yeye atoke inabidi atoke huyo. Hahaha patamu hapo. Mwaka wa kugawana fito huu