Dr. Slaa: Sitakula sahani moja na mafisadi

Dr. Slaa: Sitakula sahani moja na mafisadi

Dr. Slaa ni FISADI MZINIFU...

Kapora mke wa mtu, na kamtelekeza mke wake Rose kamili, na watoto alio zaa nao...Dr. Slaa hafai, mchafu na hafai kuwa kiongozi sbb familia yake kaitelekeza, na Rose kamili hadi leo analaani, haamini babu wa makamo ya Slaa, kuacha familia ikiteseka, ana roho mbaya sana hiki kibabu...Upadre ulimshinda sbb ya hii tabia chafuu...!!!

CCM hawezi itoa madarakani, anaota nn, au wakati anaongea alikuwa na mzinifu mwenzake J...

Slaa sio kiongozi, hata kanisa lilimfukuza, hafai... kanisa la RC ndio mahala maadili ya ukweli yaliko...kama kanisa lilimshindwa, nani atamweza..!!? atuondolee usiku hapa...!!!

haa haa kama hoja ndo hizo hakuna wa kupona huko ccm kamwe.
 
BUGORORA:

Kwa nyongeza ni kwamba suala kuoa na kuolewa kwa mtu yeyote sio issue ya kitaifa. Taifa letu halijashindwa kuendelea kwa miaka 50 kwa sababu watu wameoana na kuachana au kwa sababu fulani kamfumania fulani. Lakini ni ukweli wa mchana kweupe kuwa nchi imeshindwa kupiga hatua kwenda mbele sababu ya mafisadi.

mkuu serikali haitoi maamuzi na imekuwa legelege by lowasa.
 
Mweee mhhh mbona makubwa mhhh huyu babu ndomnataka awe rais wa wapi kweli Tanzania imekwisha mungu nao MBA nusuru huyu MTU ikulu aione ndotoni
 
Hili la kuasi kanisa atahukumiwa na kanisa lake na Mungu wake pia. Hayo hayagusi maslahi mapana ya nchi yetu. Lakini kama na yy ni fisadi wa nchi thibitisha tumhukumu kwa hilo na sio swala la kuasi imani
 
Makuku Rey uko sawa, tukianza kufuatilia suala la uadifu binafsi hsa eneo hili la uzinzi bas waliowahi kutuongoza na waliopo madarakani ni wakupigaawe. Nafikiri tujadili sifa za mtu zinagusa maslahi mapana ya nhi yetu hasi na chanya kwa mtangaza nia
 
Dr slaa hafai kuwa rais wa Tanzania,toka lini padri akawa rais jaman,tuweni serious watanzania,kama alimsaliti mwenyezi Mungu aliyemuumba je itakuwaje sisi wananchi wa kawaida
 
U went wrong and opposite....kabisaa..

Mambo binafsi ndio HASAAAAA MUHIMU KUCHAGUA VIONGOZI....tena hayo ndio key factors kuchagua kiongozi bora....Je akiwa shoga, je akiwa anapora wake za watu akiwa Rais si ndio atatukombea wake zetu wote, hata ww utaanza lia hapa, hivi Leo ukikutana na Mume wa Josephine ww kama mwanaume vaa uhalisia wa nafsi ya Mahimbo uongee sasa, ww hujawahi chukuliwa mke nn..!!? Au hujaoa bado..!!? Je kama ungekuwa leo ni Rose kamili, vaa nafsi yake, kazalishwa watoto sijui watatu, alafu kawa mbibi, mume kamwacha, kumbe mume kibabu ila chekibobu kama vivuta ganja ungejisikiaje...!!? Unajua kweli UTU wa Mtu kama Rose kamili ukoje ndani ww, uchungu alio nao...!!? ww ukoje lkn..!!? Rose kabakia ukiwa, katelekezwa, moyo wa Rose unajua sasa hivi ukoje lkn..!? Ungekuta usichana wake kapata mwanaume mwaminifu sio mzinifu kama Slaa, wangekuwa wote hadi leo labda, anaishi kwa raha kama mama, acha kucheza na maisha ya mtu aiseee....!!!!
Mwanaume mwenye ROHO NA KIONGOZI BORA HAWEZI KAMWE TELEKEZA FAMILIA YAKE, kamwe, huyo ni sawa na muuaji...charity begins at home...period

Tabia binafsi ndio hasa za kuangalia, huyu atatufanya wote tuwe kama BABU SEYA...!!! Viva CCM, viva Lowassa 2015...!!!

Mr. Presedent, ikiwa tutawachagua viongozi kwa kigezo cha mienendo yao binafsi hasa kama unavyodai kuwa babu ni mzinzi,, hakuna mtu anayeweza kuwa rais wa nchi hii...
 
Fisadi ni mtu yeyote anayetamani na kupora mali za watu wengine ziwe kodi za serikali au wake za watu.Slaa ni fisadi alipora mke wa mtu! hana cha kuwaambia mafisadi! Wale wanapora hela yeye anapora wake za watu FISADI MKUBWA.
Mkuu hebu waombe radhi wanawake,unataka kusema wanawake ni mali kama vile magari
kwamba wanaweza kuporwa na wasiweze kurudi nyumbani wakati wana uhuru wa kutembea mjini?
Nadhani hii ni aina mojawapo ya udharilishaji wa kijinsia.
Nijuavyo mimi kinachoporwa ni mali isiyo na utashi na haina uwezo wa kujirudisha kwa mmiliki halali.
Binadamu haporwi bali anaweza kutekwa,na aliyetekwa siku akiachiwa kutembea mjini lazima atarudi kwao tu.
 
Kiswahili kweli hupotoshana wakati fulani, katika hili nimepotoka pia. Unajua kwanini?

Niliposoma: Dr. Slaa sitakula sahani moja na mafisadi, tafsiri ya kwanza iliyonijia ya kimazoea: hatowashughulikia mafisadi.

Mtu akisema "nitakula sahani moja na wewe," huelewa amemaanisha:nitashughulika na wewe....
 
Fisadi ni mtu yeyote anayetamani na kupora mali za watu wengine ziwe kodi za serikali au wake za watu.Slaa ni fisadi alipora mke wa mtu! hana cha kuwaambia mafisadi! Wale wanapora hela yeye anapora wake za watu FISADI MKUBWA.

Si tu mke mtu, leo hii anamagorofa matatu kwa pesa za ruthuku. Mkimwuliza lini utatoa ripoti za ruthuku; mara utaitwa msaliti, utumimwa na CCM. Huyu mzee ni hambazi tu hana cha kujisafisha.
 
Mr. President

Mkuu, mnyonge na anyongwe lakini hski yake ni shurti apewe. Huyu Mh - ambaye ni Dr la ukweli ni miongoni wa Wtz ambao wana aminiwa na Wtz walio wengi. Sasa hizo kashifa unazomwelekezea nina hakika unakumbukumbu nzuri tu kuwa aliwahi fikidhwa mahakamani kwa kosa la kupora mke wa mtu na hiyo ilikuwa kabla ya uchaguzi wa 2010.

Ombi langu naomba wakumbushe Wtz ni nini hukumu iliyotolewa dhidi ya tuhuma hiyo?.Na huko kanisani unakosema walimshindwa, sema bayana kama aliwahi kutwa na kosa la kijinai mahakamani na kuhukumiwa?

Nje ya hapo utakuwa ni mfuwasi wa siasa taka na wote wa aina yako mtakuwa na matatizo makubwa ya kudadavua mambo kama siyo unafiki tu kwa vile ndy wale wale wachache mnao katafuna haka kasungura kadogo ambacho kwa miaka zaidi ya 50 hakakui.

Na kama tutaendelea na imani hizi basi tutaendelea kupiga nark time hadi YESU atakaporudi. Nchi za wenzetu zinaendelea kwa vile viongozi na waongozwa wote wanadhamira za dhati za kupiga hstua mbele kama taifa- hayo maendeleo waliyo nayo ni kwa sababu people are living and working into one spirit as a nation and not individually.

Au la basi tuaminidhwe kuwa Wtz tumerogwa na mchawi wetu si mwingine bali ni waliojo madarakani. CHANGE IS A MUST IF WE REALLY NEED ECONONIC TRANSFORMATION.

To most of Tanzanians we need people like Dr. Slaa or anybody from UKAWA who would be a real visionery leader to reshape this nation for steps forward not otherwise. Jamani tunachekwa sana huko nje maliasiri ziko bwelele lakini bado hazisaidii taifa kusonga mbele.
 
Last edited by a moderator:
BUGORORA:

Kwa nyongeza ni kwamba suala kuoa na kuolewa kwa mtu yeyote sio issue ya kitaifa. Taifa letu halijashindwa kuendelea kwa miaka 50 kwa sababu watu wameoana na kuachana au kwa sababu fulani kamfumania fulani. Lakini ni ukweli wa mchana kweupe kuwa nchi imeshindwa kupiga hatua kwenda mbele sababu ya mafisadi.

Hakuna ufisadi mbaya kama uzinzi na kupora wake za watu.

Mwenyezi Mungu ndiye aliyeelekeza masuala yote ya uadilifu.Na amekataza zinaa.

Kama mtu hawezi kudhibiti nafsi yake kamwe hawezi kujinyima kupora na kufisidi mali za umma.

Kwa nini Dr.Slaa aibe mke wa mtu.

Katika dhambi zilizomuudhi mwenyezi Mungu ya kwanza ilikua ni kupora mke wa mtu.

Kama ingekua enzi za manabii na Mitume Dr.Slaa angekua ameshauawa kwa sababu ya kupora mke wa mtu na uzinzi.Kibiblia uzinzi ni dhambi kunbwa sana mana inamuhusu mtu mwenyewe.

Ufisadi wote unaofanyika duniani unasukumwa sana na starehe na uzinzi.

Tusimtetee mtu kwa sababu ni wa chama fulani.

Kila kosa la kimadili tulikemee.

Watu wengi wanashindwa kutoa hiduma bora maofisini kwa sababu ya kuendekeza uzinzi.

Iko wazi sana kuwa Josafine Mushumbushi amemzidi sana Dr.Slaa ujanja na kiukweli kama yule mama atafanikiwa kuwa first lady hakuna mtu atakayeweza kumdhibiti.

Kwangu binafsi nadhani umalaya kwa mtumishi wa umma au kiongozi wa dini ni jambo baya sana. Ulimwengu unaangamizwa kwa sababu ya tabia za uzinzi na tabia za kutoheshimu ndoa halali.
 
Dr. Slaa ni FISADI MZINIFU...

Kapora mke wa mtu, na kamtelekeza mke wake Rose kamili, na watoto alio zaa nao...Dr. Slaa hafai, mchafu na hafai kuwa kiongozi sbb familia yake kaitelekeza, na Rose kamili hadi leo analaani, haamini babu wa makamo ya Slaa, kuacha familia ikiteseka, ana roho mbaya sana hiki kibabu...Upadre ulimshinda sbb ya hii tabia chafuu...!!!

CCM hawezi itoa madarakani, anaota nn, au wakati anaongea alikuwa na mzinifu mwenzake J...

Slaa sio kiongozi, hata kanisa lilimfukuza, hafai... kanisa la RC ndio mahala maadili ya ukweli yaliko...kama kanisa lilimshindwa, nani atamweza..!!? atuondolee usiku hapa...!!!

TUkianza kuchambua ya huko mashariki ya mbali hata tuliyenaye sasa kwenye mambo hayo hata tukimuita MCHAFU bada neno halisi la kumpa halitafaa....

Huko Mashariki ya mbali siyo tu wachafu kwa mienendo yao bali wamekumbwa na SHETANI la ngono....Kuna wengine huko Dom saa hii wameshabadili mashuka na mablanketi sijui mara ngapi.......

Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usitupe mawe,tukianza kurudisha nyumba yako itakuwa chini..........
 
haaa haa huu ni mtazamo wako hongera. tuwasubiri na wengine.

Mimi naomba anipe historia ya Mwenyekiti wa Chama cha Mafisadi.............Ana watoto wangapi?Wake,masuria wangapi,nyumba ndogo ngapi.................akimaliza hapo arudi kwa Dr.Slaa
 
Fisadi ni mtu yeyote anayetamani na kupora mali za watu wengine ziwe kodi za serikali au wake za watu.Slaa ni fisadi alipora mke wa mtu! hana cha kuwaambia mafisadi! Wale wanapora hela yeye anapora wake za watu FISADI MKUBWA.

Ungeanza kutuwekea atleat historia za maisha ya NDOA ya hawa:

1.Spika wa zamani wa Bunge-Msekwa
2.Spika wa pili wa Bunge-Sitta
3.Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM-Che Nkapa.
4.Mwenyekiti wa sasa wa Chama cha Mafisadi Le Prof.
 
Fisadi ni mtu yeyote anayetamani na kupora mali za watu wengine ziwe kodi za serikali au wake za watu.Slaa ni fisadi alipora mke wa mtu! hana cha kuwaambia mafisadi! Wale wanapora hela yeye anapora wake za watu FISADI MKUBWA.

Nani kamwambia wewe mkeo ndio uliyeanza nae?
 
Hawezi kula sahani moja ! Tutamuamini vipi wakati alikunywa juisi moja na mafisadi?
 
Back
Top Bottom