Dr. Slaa: Sitakula sahani moja na mafisadi

Dr. Slaa: Sitakula sahani moja na mafisadi

Dr. Slaa ni FISADI MZINIFU...

Kapora mke wa mtu, na kamtelekeza mke wake Rose kamili, na watoto alio zaa nao...Dr. Slaa hafai, mchafu na hafai kuwa kiongozi sbb familia yake kaitelekeza, na Rose kamili hadi leo analaani, haamini babu wa makamo ya Slaa, kuacha familia ikiteseka, ana roho mbaya sana hiki kibabu...Upadre ulimshinda sbb ya hii tabia chafuu...!!!

CCM hawezi itoa madarakani, anaota nn, au wakati anaongea alikuwa na mzinifu mwenzake J...

Slaa sio kiongozi, hata kanisa lilimfukuza, hafai... kanisa la RC ndio mahala maadili ya ukweli yaliko...kama kanisa lilimshindwa, nani atamweza..!!? atuondolee usiku hapa...!!!

Mwezi mchanga naona umeanza, umepanik mpaka unatoa mapovu, mind you, sipendi mtu anaetoa mapovu mdomoni. Shit! Sasa lumumba mwaka huu mtapasuana vichwa kwa viti, lowassa ameshaweka wazi hatoki, anaetaka yeye atoke inabidi atoke huyo. Hahaha patamu hapo. Mwaka wa kugawana fito huu
 
Fisadi ni mtu yeyote anayetamani na kupora mali za watu wengine ziwe kodi za serikali au wake za watu.Slaa ni fisadi alipora mke wa mtu! hana cha kuwaambia mafisadi! Wale wanapora hela yeye anapora wake za watu FISADI MKUBWA.

Mshughulikie mkeo kwa bidii ukimchekea watamshughulikia wenzio.
 
Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
 
Lowassa ni mwizi wa mali ya umma. Anataka kuunda serikali ya wezi!

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
 
Hivi mzee slaa naye ni mtu wa kumsema mtu wakati yeye mwenyewe kafanya ufisadi mpaka kanisani ndiyo maana kanisa likamfukuza mara moja.
 
Dr. Slaa ni FISADI MZINIFU...
I
Kapora mke wa mtu, na kamtelekeza mke wake Rose kamili, na watoto alio zaa nao...Dr. Slaa hafai, mchafu na hafai kuwa kiongozi sbb familia yake kaitelekeza, na Rose kamili hadi leo analaani, haamini babu wa makamo ya Slaa, kuacha familia ikiteseka, ana roho mbaya sana hiki kibabu...Upadre ulimshinda sbb ya hii tabia chafuu...!!!

CCM hawezi itoa madarakani, anaota nn, au wakati anaongea alikuwa na mzinifu mwenzake J...

Slaa sio kiongozi, hata kanisa lilimfukuza, hafai... kanisa la RC ndio mahala maadili ya ukweli yaliko...kama kanisa lilimshindwa, nani atamweza..!!? atuondolee usiku hapa...!!!
Si kweli kuwa kanisa lilimfukuza, aliondoka yeye mwenyewe kisha akaoa. Matatizo ya ndoa hiyo ni habari tofauti, kwani kudumu kwake kunawahusu wawili na wao ndio wanajua iliwashindaje. Kuoa tena si kosa ila kama aliyemwoa ni mke wa mtu basi mwenye mke ana haki ya kudai haki yake. Je, kachukua hatua gani?
 
Mkuu, mnyonge na anyongwe lakini hski yake ni shurti apewe. Huyu Mh - ambaye ni Dr la ukweli ni miongoni wa Wtz ambao wana aminiwa na Wtz walio wengi. Sasa hizo kashifa unazomwelekezea nina hakika unakumbukumbu nzuri tu kuwa aliwahi fikidhwa mahakamani kwa kosa la kupora mke wa mtu na hiyo ilikuwa kabla ya uchaguzi wa 2010. Ombi langu naomba wakumbushe Wtz ni nini hukumu iliyotolewa dhidi ya tuhuma hiyo?.Na huko kanisani unakosema walimshindwa, sema bayana kama aliwahi kutwa na kosa la kijinai mahakamani na kuhukumiwa? Nje ya hapo utakuwa ni mfuwasi wa siasa taka na wote wa aina yako mtakuwa na matatizo makubwa ya kudadavua mambo kama siyo unafiki tu kwa vile ndy wale wale wachache mnao katafuna haka kasungura kadogo ambacho kwa miaka zaidi ya 50 hakakui.
Na kama tutaendelea na imani hizi basi tutaendelea kupiga nark time hadi YESU atakaporudi. Nchi za wenzetu zinaendelea kwa vile viongozi na waongozwa wote wanadhamira za dhati za kupiga hstua mbele kama taifa- hayo maendeleo waliyo nayo ni kwa sababu people are living and working into one spirit as a nation and not individually.
Au la basi tuaminidhwe kuwa Wtz tumerogwa na mchawi wetu si mwingine bali ni waliojo madarakani. CHANGE IS A MUST IF WE REALLY NEED ECONONIC TRANSFORMATION. To most of Tanzanians we need people like Dr. Slaa or anybody from UKAWA who would be a real visionery leader to reshape this nation for steps forward not otherwise. Jamani tunachekwa sana huko nje maliasiri ziko bwelele lakini bado hazisaidii taifa kusonga mbele.

Sasa wewe ndiyo mfano mzuri wa tofauti kati ya mwana ccm na mwana ukawa, compliments where due, you were brilliant.
 
Kufuatia uvumi kuwa Edward Lowassa waziri mkuu aliyeng'oka kwa kashfa za ufisadi kutaka kuhamia UKAWA, Dr. Willbrod Slaa katibu mkuu wa CHADEMA amesema kuwa hayupo tayari kula sahani moja na mafisadi.

Akijibu tuhuma hizo Dr. Slaa amesema wazi kuwa Chadema na UKAWA hawapo tayari kupokea mafisadi kwani itakuwa ni kinyume kabisa na dhamira ya UKAWA ya kuwatumikia watanzania wanaotegemea mabadiliko makubwa.

"Watanzania wapo tayari kwa mabadiliko na wameonyesha nia ya dhati kutuunga mkono, hatupo tayari kuchafuka na mafisadi" amesema Dr. Slaa

Kutokana na hali halisi ilivyo mdani ya CCM, chama hicho kinatarajiwa kukumbwa na mgogoro mkubwa kutokana na msuguano mkali wa makundi mawili makubwa yanayowania urais huku kundi hasimu na Lowassa likiungwa mkono na rais Kikwete.

Lowassa tayari ametoa hotuba huku akiainisha vipaumbele vyake ambavyo vinaenda kinyume kabisa na ilani ya CCM mwaka 2015-2020 jambo linalohashiria kuwa ndani ya chama hicho hali si shwari.

Mziki umeanza sasa.Naona cdm wanataka kujimaliza wenyewe
 
Acha wahamie mafisadi wakaongezeke kwenye chama chao cha ukoo.
 
lowasa hawezi toka ccm
Kwanini hawezi kutoka wakati keshakatwa ila kiasi fulani naungana na wewe kwa kiasi flani kwani akitoka atapata shida sana kwa jinsi alivyokuwa mwizi lazima wamsurubu.
 
Habarini wanaccm
Nianze kwa kutanguliza samahani kwa nitakaowakwaza kwani ni bora nizungumze kuliko kukaa kimya nitakuwa mjinga wa ajabu na nitakuwa sijaitendea haki democracy,
Nasikitika kuona wanaccm hawapendi kuambiwa ukweli kisa wanalinda maslahi yao na hii in miongoni mwa mambo yanayofanya chama hiki kiende mrama maana ukisema ukweli baadhi yetu kulingana na Uwezo wa kufikiri basi huona wewe ni mpinzani kwa chama#
Ndg zangu Nchi yangu ni bora kuliko chama hvyo Mara nyingi naweka mbele maslahi ya Taifa kuliko chama,Leo hii tunapoona watu wanakihama chama chetu sio wajinga na sio suala la kuwabeza bali twatakiwa tujiulize kwann watu wanakihama,
Kumetokea mambo mengi sana ndani ya chama ambayo kimsingi yanasababisha wananchi wakichukie chama cha mapinduzi#
Maneno ya wananchi wanasema tatizo sio magufuli bali tatizo ni mfumo wa kulindana,kubebana na kushughulikiana ndani ya ccm ni miongoni mwa sababu zinazowakera wapiga kura.
Tujipange ila kiukweli mtaani hali ni mbaya.
Leo hii atatambulishwa rasmi James lembeli kwa wanakahama lakini pia kunatukio la madiwani wa Simiyu Na madiwani Na wachama wa ccm monduli kukihama chama cha mapinduzi,Huu sio mtikisiko mdogo in mkubwa sana hebu fikiria Hawa watu wanawatu wangapi nyuma na watakieneza nini kwa watu wao lakini pia baada ya kukaa tukatafakari kwa makini tukiohili sisi tumekalia kujipa ushindi wa whatsap na pale mtu anapoamua kufunguka kwa kusema kweli basi atachukuliwa kama unakipinga chama ila tuamini kuwa wananchi wa leo sio wale wa Mwl Nyerere ,Tanzania ya leo sio ile ya Mwl hii ya leo iko tofauti kabisa,Watanzania wanahitaji mabadiliko hivyo wasipoyapata ndani watayatafuta nje,
Watanzania wamechoshwa na umaskini uliokithiri,Wamechoshwa kuona keki ya Taifa wanafaidika nayo wachache,Wamechoshwa na kuhudumiwa chini ya miti,Wamechoshwa kuona rushwa imekithiri,Wamechoshwa na mishahara duni,mikopo hakuna vyuo vikuu,Elimu isiyoendana na hitaji la MTU, Tunahitaji Tanzania mpya yenye fursa sawa kwa wananchi wake .
Niwasihi vijana wezangu tusiwe daraja la wanasiasa tufanye maamuzi sahihi kwa kiongozi sahihi bila woga,Kura moja inathamani kubwa saana kwako mtanzania .
Tukiona nyeusi tuseme nyeusi na tukiona nyeupe tuseme nyeupe bila woga kwa miaka mitano au kumi ni mingi kwa kweli hivyo binafsi sitokuwa tayari kusema nyeusi kwenye nyeupe.
Tuweke maslahi ya taifa mbele.
Ahsanteni.
 
Kufuatia uvumi kuwa Edward Lowassa waziri mkuu aliyeng'oka kwa kashfa za ufisadi kutaka kuhamia UKAWA, Dr. Willbrod Slaa katibu mkuu wa CHADEMA amesema kuwa hayupo tayari kula sahani moja na mafisadi.

Akijibu tuhuma hizo Dr. Slaa amesema wazi kuwa CHADEMA na UKAWA hawapo tayari kupokea mafisadi kwani itakuwa ni kinyume kabisa na dhamira ya UKAWA ya kuwatumikia watanzania wanaotegemea mabadiliko makubwa.

"Watanzania wapo tayari kwa mabadiliko na wameonyesha nia ya dhati kutuunga mkono, hatupo tayari kuchafuka na mafisadi" amesema Dr. Slaa

Kutokana na hali halisi ilivyo mdani ya CCM, chama hicho kinatarajiwa kukumbwa na mgogoro mkubwa kutokana na msuguano mkali wa makundi mawili makubwa yanayowania urais huku kundi hasimu na Lowassa likiungwa mkono na rais Kikwete.

Lowassa tayari ametoa hotuba huku akiainisha vipaumbele vyake ambavyo vinaenda kinyume kabisa na ilani ya CCM mwaka 2015-2020 jambo linalohashiria kuwa ndani ya chama hicho hali si shwari.

TUHUMA? Utungaji sio fani yako
 
ss tuko simiyu tayari madiwani wa UDP wamechukua fomu chadema na wamerudisha kadi za mwanzo za chama.
 
Back
Top Bottom