Rasimu ya kwanza na ya pili zikasainiwa kwa mbwembwe kubwa pamoja na kuipa sifa lukuki tume ya Jaji warioba, ghafla bin vuu, maoni ya wanachi wameyageuka, tume wameigeuka - Bunge la katiba limekuwa kikao cha chama cha Mapinduzi - hawa ndio eti wakomavu katika uongozi wa taifa hili kwa nusu karne.
Serikali ina viongozi vigeugeu kwa sababu ni wao ndio waliosaini rasimu ya Katiba mpya, lkn cha ajaabu wao ndio wanageuka na kutaka yajadiliwe mambo ambayo hayamo ndani ya rasimu ya Tume ya Jaji Joseph Warioba."