Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

avatar162282_1.jpg
 
lets face it,hivi dr slaa na profesa wa china nani kicheche?
 
ukawa ni habari nyingine kabisa....na nyie magamba mkaye mkijua kuna watu humo ndani wako bega kwa bega na sisi
 
"Hivi huyu Dr. Slaa anapataje hizi taarifa?" Prof. anawauliza wasaidizi wake.
 
Mama yako kuwa-attacked is bad but attacking Dr Slaa is fine? Slaa is the father and leader to others just your parent.
Respect others' leaders and parents and your parents and leaders shall be respected.
Criticism is fine, but stick to the issues.Comments that include profanity or personal attacks wacha ujinga Mama yake amekukosea nini?dick head
 
Dr. hatari chama hatari sana, wananchi hawana nia ya kuwapa nafasi watu hatari kuongoza nchi, nina wasiwasi na weledi wa Dr. Slaa, mtu hatari sana huyu.
 
.....nikiwa mtaalam wa info mgt,najua miiko ya utunzaji habari lakini habari zenye lengo la kuibia nchi tutazitoa kwa faida ya umma....nawashauri wataalam wenzangu wote.Na hiyo ni sehemu ya kupinga ufisadi
 
Mama yako kuwa-attacked is bad but attacking Dr Slaa is fine? Slaa is the father and leader to others just your parent.
Respect others' leaders and parents and your parents and leaders shall be respected.

Note that it is not a personal attack to question
 
Note that it is not a personal attack to question

We are dealing with what you are thinking and not what you are writing, so get prepared for an equal reaction all the time.
 
Hazikuwa nyaraka za siri, zilikuwa nyaraza za wazi kwa watu wote,.. Hatudanganyiki

ww ulizipata hizo nyaraka za wazi? zilichapwa kwenye gazeti gani? hivi unajua kuwa mambumbumbu mmebaki wachache sana?
 
Kwani dr slaa mimi ananisaidia nn acha ninywe chai niende kazini kwenye siasa mimi simo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wale wanaosema ni nyaraka za wazi watuambie zilitangazwa na nani na lini maana vitu vya wazi huwa vinatangazwa
 
Wale mnaodai kuwa ni nyaraka za wazi tuambieni zimetangazwa lini ? Na nani wakati gani...hizo ndio sifa za taarifa za wazi
 
Back
Top Bottom