Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Ni hatari kwa kuiba wake za watu wala hana kitu cha maana zaidi ya hayo.

We badala ya kushinda humu kumlalamikia dr anaiba wake za watu, kama kweli unajali ni bora umuambie mama yako aboreshe mapenzi sababu inawezekana dr allimlamba mara moja alafu akapiga chini sababu mother akifika kitandani hajishughurishi.

Na wa kumshangaa zaidi ni baba yako,anawezaje kukaa na mtu asiyejua mapenzimmuda wote huu,hajui kutongoza? au hana hela?
 
Wadau,
Naaamini hadi sasa lumumba na magogoni mambo sio shwari, baada ya Dr Slaa kuweza kudaka nyaraka za siri kutoka ikulu ndani ya muda mfupi na Rweyemamu kuuhakikishia umma wa watanzania kua nyaraka zile na kikao kile ni cha kweli, Hii inaonyesha kwamba Dr ni mtu hatari sana katika mambo ya intelijensia na yupo one step ahead ya chama tawala na usalama kwa ujumla, saluti sana kwa huyu mzee kwa kweli. Heko Dr Slaa. Heko Chadema. Heko Ukawa.
Mabadiliko 2015.

Sasa hapo hatari ikowapi?
hayo ni mambo yaliojadiliwa kibiashara mbele ya wanasheria kwa muda mrefu na wala sio nyaraka kama unavyoamini.
 
Kweli mmejipanga kwenye mitandao kujibu kila thread muda wote. Mnafanya kazi kweli nyie au ndo kazi yenu
 
Ee bwana ee!!! Hivi mama yako ana sura gani hadi Dr Slaa amuibe? Hebu tuwekee picha yake hapa tuone kama siyo kibogoyo!

Criticism is fine, but stick to the issues.Comments that include profanity or personal attacks wacha ujinga Mama yake amekukosea nini?dick head
 
Huyu mzee hana family kweli ataweza kuongoza taifa?nasikia ana PhD ya kupora wake zawatu kweli huyu anaweza kuongoza hata nyumba 10?

Kama aliporwa,alitongozwa akakubari,au alijitongozesha majibu anayo aliyechapwa nao na dr.

Na ndiye anayejua habari za u DR za slaa,kwa namna haya makubaliano ya kufanyana yalivyo ya siri, nauhakika wewe utakuwa umeyasikia kutoka kwa mtu wako wa karibu.

Kama ni mama yako au dada yako ndo alikuambia,ni bora ukamuulize yeye.
 
Lumumba wamejipanga sio mchezo, kutoka week iliyopita wanazishambulia thread kama hawana akili nzuri
 
Asante sana Mkuu Sangarara, hoja kwa hoja, tusi kwa tusi na kashifa kwa kashifa!!! Naona Lumumba umewakimbiza jukwaa!!
 
Laki si pesa,mjepo nk yaan ukiambiwa kalete wajinga na wapumba.vu tunaanza na ninyi. Ninyi ndio mnashusha hadhi ya nchi hii,hivi mtu wa nje anayeweza kusoma na kuelewa kiswahili akapitia coments zenu atasema watz ni waji,nga na wa.pumba.vu ona wanavyotetea ushe.nzi,ufisadi,wizi na rushwa kwa serikali,ndio maana tunaambiwa watz ni watu wenye IQ ndogo chanzo ni ninyi washe.nz mnatoa comments za kishe.nzi,kipuuzi na kiseng* mno. Hamuoni aibu kutetea wizi,rushwa na ufisadi? Hivi mnalipwa milioni ngapi kiasi kwamba wanayotenda watawala ni neema au baraka kwenu? Kwa nini mmefikia hatua ya kujigeuza wajing.a na wapumb.avu kiasi hiki wakati mnauelewa wa kutosha? Hivi siku ya mwisho mtajitetea nini mbele ya Mungu naamini ni watu mnaoamini dini? Hizi dhambi mnazozifanya haki ya Mungu hata katika matendo haya hata shetani atawakana kuwa hii dhambi zijawatuma kuifanya. Inasiktisha sana
 
Wadau,
Naaamini hadi sasa lumumba na magogoni mambo sio shwari, baada ya Dr Slaa kuweza kudaka nyaraka za siri kutoka ikulu ndani ya muda mfupi na Rweyemamu kuuhakikishia umma wa watanzania kua nyaraka zile na kikao kile ni cha kweli, Hii inaonyesha kwamba Dr ni mtu hatari sana katika mambo ya intelijensia na yupo one step ahead ya chama tawala na usalama kwa ujumla, saluti sana kwa huyu mzee kwa kweli. Heko Dr Slaa. Heko Chadema. Heko Ukawa.
Mabadiliko 2015.
Hivi yale makontena ya kura Dr. Slaa aliyosema kayakatama Tunduma yapo wapi?
 
Ni hatari kwa kuiba wake za watu wala hana kitu cha maana zaidi ya hayo.

Mwambie baba yako aangalie anaweza kumwiba mama yako akamtengeneza mdogo wako teh teh teh teh!!!!!
 
Criticism is fine, but stick to the issues.Comments that include profanity or personal attacks wacha ujinga Mama yake amekukosea nini?dick head

Acha kujisheua wewe.

Hata wewe umetoka kuzungumzia personal issues za dr mbona hakuna aliyekuzuia.

Sababu issue ya dr kuosha rungu lake kwa mother yako ni personal issues za dr na mama yako wewe umezileta hapa za nini?

Ama sivyo ulieleze jukwaa hao wake za watu aliowapora dr ni wepi?

Mi kwa namna ulivyolalamika hapa dr kuiba wake za watu nikajua kwa vyovyote vile dr atakuwa kakuharibia mzazi.

Au mama yako hajawahi kuolewa?
 
Back
Top Bottom