Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Wadau,
Naaamini hadi sasa lumumba na magogoni mambo sio shwari, baada ya Dr Slaa kuweza kudaka nyaraka za siri kutoka ikulu ndani ya muda mfupi na Rweyemamu kuuhakikishia umma wa watanzania kua nyaraka zile na kikao kile ni cha kweli, Hii inaonyesha kwamba Dr ni mtu hatari sana katika mambo ya intelijensia na yupo one step ahead ya chama tawala na usalama kwa ujumla, saluti sana kwa huyu mzee kwa kweli. Heko Dr Slaa. Heko Chadema. Heko Ukawa.
Mabadiliko 2015.
Ni UKAWA na sio Slaa.Tuanze kuwa waangalifu kipindi hiki.
 
kindly mjepo...respect huanza na wewe binafsi..kwanini ututoe nje ya mada for no reason, ongea kwa hoja according to mada yenyewe sio kupinga tuu...mradi umepunga mkuu.
ccm akili zao haziko sawa mkuu, ndomana siku zote hawawezi kujibu kwa hoja iliyopo
 
Referee wetu ndo wanasababisha vujo uwajani. Naipenda sana jf jukwaa la siasa lakini nasikitika wenye heshima zao wanaanza kupakimbia. Hii ikiwa ni faida na kutimia kwa lengo la wanamagamba. Iweje uzi uchafuke kiasi hiki ati Dr. na Prof waje kuchangia!
 
Mbona mnajichanganya wenyewe, sasa hizo nyaraka ni za Dr.Slaa siyo tena UKAWA.
 
Acha kujisheua wewe.

Hata wewe umetoka kuzungumzia personal issues za dr mbona hakuna aliyekuzuia.

Sababu issue ya dr kuosha rungu lake kwa mother yako ni personal issues za dr na mama yako wewe umezileta hapa za nini?

Ama sivyo ulieleze jukwaa hao wake za watu aliowapora dr ni wepi?

Mi kwa namna ulivyolalamika hapa dr kuiba wake za watu nikajua kwa vyovyote vile dr atakuwa kakuharibia mzazi.

Au mama yako hajawahi kuolewa?

Mkuu Sangarara safi sana umewakimbiza team Lumumba a.k.a buku 7fc jukwaani hawana hamu tena tehtehtehteh.Walikuja kipuuzi ukawapeleka kipuuzi kimyaaa Mjepo,Choo, na wengine mko wapi mnaitwa huku jukwaani.
 
Slaa kweli hatari.amekiuka kiapo cha yeye kumtumikia mungu wake akaamuwa kuwa mzinifu.ilihali anayajuwa vizuri maandiko.

usizini yeye padre muasi kazini.kwweli slaa nihatari
 
kuna lorry tunduma lina makaratasi ya kura. haya bana twende basi tukaone. kweli sio makaratasi ya kura. mbona ulikimbilia kutangaza, oooooh wamenitegea. mtu mzima hovyooo. kibabu kiongo hicho
 
Cha msingi kuna wananchi wako kwenye system lakini wanataka mabadiliko. Hao ndio wanachepusha vitu vya maana upinzani!
 
Hazikuwa nyaraka za siri, zilikuwa nyaraza za wazi kwa watu wote,.. Hatudanganyiki
Kama zingekuwa ni nyaraka za wazi kwanini hazikuchapishwa kwenye magazeti na kutangazwa kwenye vyombo vya habari? Shughuli ya serikali inayogharimu zaidi ya bilioni mbili za walipa kodi kwanini isichapishwe kwenye magazeti? Acheni uhuni nyie CCM na wizi wenu uliokubuhu.
 
Mkuu Sangarara safi sana umewakimbiza team Lumumba a.k.a buku 7fc jukwaani hawana hamu tena tehtehtehteh.Walikuja kipuuzi ukawapeleka kipuuzi kimyaaa Mjepo,Choo, na wengine mko wapi mnaitwa huku jukwaani.

Mi nawauliza tu mkuu
 
Cha msingi kuna wananchi wako kwenye system lakini wanataka mabadiliko. Hao ndio wanachepusha vitu vya maana upinzani!

nk kweli hao ndiyo wanatoa data na dr slaa anazipata...siyo wote waliyopo serikalini au ktk system wanafurahia upuuzi unaofanywa na serikali hii
kama unavyowaona magamba humu iko kama mazezeta na mazombi kutwa kushabikia upuuzi tu wa ccm
 
moderators...mtusaidie na hawa jamaaa aisee...!! kwa sababu hii kitu inalishushia hadhi ili jukwaaa kabisaa.
 
Wenye akili wameelewa. Mashambulizi haya yenye lengo LA kupotosha mada ni kuonyesha ni vipi Uzi huh ni mwiba mkali sana .. Huko ilikotoka hiyo document so shwari!!! ondokeni humu jf mkachunguzane . Acheni kudanganya watu hii sio siri,.Administratively nyaraka zote za jumba kuu ni SIRI achilia mbali hii context yake.
 
kindly mjepo...respect huanza na wewe binafsi..kwanini ututoe nje ya mada for no reason, ongea kwa hoja according to mada yenyewe sio kupinga tuu...mradi umepunga mkuu.
ndipo alipo utegemee zaidi ya hayo mkuu? not today labda akiamua kutumia utashi wake kufikiri
 
Back
Top Bottom