Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Wewe mjepo na malimbukeni wenzako wa ugambani sina mda wa kuwaelimisha kwani hata Karume hamkumskia alivyowaambia msiwe na vichwa vya samaki hata Nyerere alikuwa anawatambua kama 'mazuzu' na uzuzu wenu tumeuona kwa mlichomtenda Mh Warioba.:A S 103:.
 
mjepo na laki si pesa, kweli hamuoni kwamba kwa upuuzi wenu humu mnazidi tu kukidhalilisha chama chenu. Hivi hata viongozi wa CCM wakivinjari humu na kukuta huu ujinga wenu mnadhani wanafurahi? Kweli mtu yeyote akiingia humu na kuambiwa ninyi ndio watetezi wa Kikwete na serikali anayoiongoza atawaelewa? Nyie endeleeni lakini mnaijeruhi CCM kikwelikweli.
 
Last edited by a moderator:
Ni hatari kwa kuiba wake za watu wala hana kitu cha maana zaidi ya hayo.
Unaweza ukadhani kwamba unakitetea chama chako, lakini kumbe ndio kwanza unazidi kuwafanya Watanzania waendelee kuichukia CCM. Kwa hiyo kwa uandishi wako huu ndio kusema kwamba hoja zimewaishia kabisa ninyi CCM?
 
Hakuna mtu anatetea chama hapa tunaongea ukweli.
 
mjepo na laki si pesa, kweli hamuoni kwamba kwa upuuzi wenu humu mnazidi tu kukidhalilisha chama chenu. Hivi hata viongozi wa CCM wakivinjari humu na kukuta huu ujinga wenu mnadhani wanafurahi? Kweli mtu yeyote akiingia humu na kuambiwa ninyi ndio watetezi wa Kikwete na serikali anayoiongoza atawaelewa? Nyie endeleeni lakini mnaijeruhi CCM kikwelikweli.

Hao ndo wafuasi wa ilo li-chama lao waliosalia. Kifupi hayo ndo masalia ya ccm. Wenye akili na uwezo wa kuiona Tanzania miaka 100 wako ukawa.

Viongozi wao hawawezi kuona taabu maana ndo wanaowatuma. Umemsikia nani anamkemea Makonda na team yake (siajabu walikuwemo hao) baada ya uvamizi na kuvuruga mdaaro wa taasisi ya mwl?
 
Last edited by a moderator:
Wanatia kinyaaa! moderators watusaidie kutunza heshima ya jukwaaa ili. Kama mtu anachangia uzi kwa kushambulia mtu/kiongozi na kwa lugha ya matusi apewe haki yake. Hawa jamaa wameharibu uzi kwa michango ya ovyo ya kupokezana wao kwa wao.
 
Wadau,
Naaamini hadi sasa lumumba na magogoni mambo sio shwari, baada ya Dr Slaa kuweza kudaka nyaraka za siri kutoka ikulu ndani ya muda mfupi na Rweyemamu kuuhakikishia umma wa watanzania kua nyaraka zile na kikao kile ni cha kweli, Hii inaonyesha kwamba Dr ni mtu hatari sana katika mambo ya intelijensia na yupo one step ahead ya chama tawala na usalama kwa ujumla, saluti sana kwa huyu mzee kwa kweli. Heko Dr Slaa. Heko Chadema. Heko Ukawa.
Mabadiliko 2015.

Taarifa hizo ni za kawaida na Mtu yeyote anaezihitaji taarifa kama hizo anaweza kuzipata. Ni Mipango ya kawaida kabisa kwa ajili ya Kura ya maoni. Ajabu ni kua jambo hiki linampatia Mtu Muhimu kama Slaa sifa!
Yeye Slaa angenikuna kama angekuja na taarifa sahihi za Kikao kilichohujumu zaidi ya 200b za tanesco au 4b kule mwanza nk.....
 
Dr Slaa anasifiwa kwa wizi wa nyaraka.Halafu mkiambiwa huyu babu ni mwizi pia wa ruzuku mnakuja juu.
 
Back
Top Bottom