Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Dr. Slaa ni mtu hatari sana, Hongera

Wale mnaodai kuwa ni nyaraka za wazi tuambieni zimetangazwa lini ? Na nani wakati gani...hizo ndio sifa za taarifa za wazi

hilo swali hawalijibu chief....ndiyo tuna subiriaa watuambieeee
.
 
Kweli kabisa kwenye kuiba wake za watu ndiyo hatari kweli pamoja na kukopa pesa kwenye chama bila kulipa.

viongozi wangapi wa CCm wana nyumba ndogo kibao ambazo na nyingine ni wake za watu??mbona husemi hayo? naamini si busara ku-attack personality ya mtu binafsi hasa hasa mambo ya mapenzi, maana tukianza hata wewe hutasalimika.
stick to the agenda and dont start new agenda.
 
.. mjepo usivuruge agenda jiheshimu tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa kwenye kuiba wake za watu ndiyo hatari kweli pamoja na kukopa pesa kwenye chama bila kulipa.

mjepo tafuta single nyingine ya kukutoa hiyo unayong'anga'na nayo kwa sasa ilishapitwa na wakati na haina mvuto wowote masikioni mwa wengi...
 
Last edited by a moderator:
Chadema wanachojua ni ugaidi tu na kulipua mabomu

Akili ndogo sana hizo, anayekufadhili (Mwigulu) aliahidi kutoa ushahidi duniani na hata ikibidi mbinguni. Muulize ushahidi wake uko wapi? Acha kushikiwa akili na watu wasiokuwa na akili. Jitambue.
 
Pitia comment zangu zote halafu uniambie wapi nimetoa lugha chafu
Ooh my dog, unageuka.

Au ulikuwa unategemea dr aje hapa mwenyewe kujibu matusi yako.

Kama kweli umeacha matusi,tujadili issue serious.

Haya manyaraka aliyopewa dr slaa na mwandishi wa habari wa rais kwa nini yanasema hii rasimu pendekezwa ni ya SERIKALI?

Kumbe hata wao wanajua sio ya wananchi sio?
 
Wale mnaodai kuwa ni nyaraka za wazi tuambieni zimetangazwa lini ? Na nani wakati gani...hizo ndio sifa za taarifa za wazi

Hizo nyaraka huku Songea mpaka mama ntilie wanafungia maandazi halafu mnasema za siri Chadema bana
 
Huyu mzee hana family kweli ataweza kuongoza taifa?nasikia ana PhD ya kupora wake zawatu kweli huyu anaweza kuongoza hata nyumba 10?

Watu wengine bhana, ndo umeandika nini sasa? Kama huna cha kuchangia si unapita tu kwani lazima.
 
Hata ww ukienda Atakuoa kama unajadili issues jadili issues sio mambo ya kanga moko!stupid
 
Ooh my dog, unageuka.

Au ulikuwa unategemea dr aje hapa mwenyewe kujibu matusi yako.

Kama kweli umeacha matusi,tujadili issue serious.

Haya manyaraka aliyopewa dr slaa na mwandishi wa habari wa rais kwa nini yanasema hii rasimu pendekezwa ni ya SERIKALI?

Kumbe hata wao wanajua sio ya wananchi sio?
Kuna jamaa aliniambia wale wa lumumba zaidi ya 80% wamefeli kidato cha nne na 20% iliyo aki wamefeli kidato cha sita naomba msiwalazimishe sana kuwapa majibu yenye mantiki.
 
Back
Top Bottom